Pilau vs Biriani

kuuliza sio ujinga,,,hyo mandi ipo kama wali na nyama au ni vp?naona kama kuna korosho hapo
Usijali...
Ipo kama unavyoiona hapo...Ni wali na nyama...ila nyama zinakuwa mapande makubwa unawekwa viungo mbali mbali...wengine wanaweka Korosho pia...

Hicho chakula Asili yake ni Somalia huko.. Ukienda restaurants zao...unawakuta na Wabongo pia wanakula wakiwa wamekaa kwenye Mikeka na visinia vyao
Cc Black Sniper kuja ongezea....
Au bado upo msibani[emoji1787]
 
aisee kwa hapa dar ni mgahawa gani wanauza?
 
Haha kweli ni mlo mtamu sana na Wasomali wameiga kwa Wayemen ndio asili yake huko unajua tena wasomali na Yemen ni dugu mocha haha

Niko home ila tumekuwa boring maana wajeda wamemwagwa mji wetu kama kuna vita yaani mpaka traffic light zinatolewa sijui kwa nini

Ila kesho alikoalikwa Mama na mimi najisogeza sijui Indian restaurants
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poleni....endelea kutupa Updates...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…