chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Watoto wa mjini hawawezi elewaView attachment 2350953kikubwa uhai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa mjini hawawezi elewaView attachment 2350953kikubwa uhai
Duuh!!! Inawezkana maana cio kitoto lile pishNackazima uwe uchi wakati unalipika
Na mayaiAisee!!! Biryani ipewe ulinz!!
Kwa mnaojua kuipika naskia mnaweka mpaka maziwa?!!
Au harusini etiPilau ndo mpango biriaNi ni chakula cha kina mama
@Black Sniper hii ni aina ya birian auKwa kweli anaekula Mandi atasahau zote hizo
Mimi kila wiki lazima nipate Mandi View attachment 2361035View attachment 2361036
Restaurant ganKwa kweli anaekula Mandi atasahau zote hizo
Mimi kila wiki lazima nipate Mandi View attachment 2361035View attachment 2361036
Hiyo ni Mandi..@Black Sniper hii ni aina ya birian au
Kama upo Dar....kuna Restaurant moja pale Lumumba mwanzoni wanapika....Restaurant gan
kuuliza sio ujinga,,,hyo mandi ipo kama wali na nyama au ni vp?naona kama kuna korosho hapoHiyo ni Mandi..
Kidogo hiyo haina viungo vingi kama Biriani..
AiseeeHiyo ni Mandi..
Kidogo hiyo haina viungo vingi kama Biriani..
Usijali...kuuliza sio ujinga,,,hyo mandi ipo kama wali na nyama au ni vp?naona kama kuna korosho hapo
aisee kwa hapa dar ni mgahawa gani wanauza?Usijali...
Ipo kama unavyoiona hapo...Ni wali na nyama...ila nyama zinakuwa mapande makubwa unawekwa viungo mbali mbali...wengine wanaweka Korosho pia...
Hicho chakula Asili yake ni Somalia huko.. Ukienda restaurants zao...unawakuta na Wabongo pia wanakula wakiwa wamekaa kwenye Mikeka na visinia vyao
Cc Black Sniper kuja ongezea....
Au bado upo msibani[emoji1787]
Ni kama biriyani ila nyama yake inapikwa kwa ubora wake yaani mbuzi unaweza mmaliza@Black Sniper hii ni aina ya birian au
Cc Frezier NehattaKama upo Dar....kuna Restaurant moja pale Lumumba mwanzoni wanapika....
Haha kweli ni mlo mtamu sana na Wasomali wameiga kwa Wayemen ndio asili yake huko unajua tena wasomali na Yemen ni dugu mocha hahaUsijali...
Ipo kama unavyoiona hapo...Ni wali na nyama...ila nyama zinakuwa mapande makubwa unawekwa viungo mbali mbali...wengine wanaweka Korosho pia...
Hicho chakula Asili yake ni Somalia huko.. Ukienda restaurants zao...unawakuta na Wabongo pia wanakula wakiwa wamekaa kwenye Mikeka na visinia vyao
Cc Black Sniper kuja ongezea....
Au bado upo msibani[emoji1787]
Lumumba stRestaurant gan
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha kweli ni mlo mtamu sana na Wasomali wameiga kwa Wayemen ndio asili yake huko unajua tena wasomali na Yemen ni dugu mocha haha
Niko home ila tumekuwa boring maana wajeda wamemwagwa mji wetu kama kuna vita yaani mpaka traffic light zinatolewa sijui kwa nini
Ila kesho alikoalikwa Mama na mimi najisogeza sijui Indian restaurants