Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

Aisee hii ya sickle cell imenikuta. Aisee ile pisi ni mzuri hatari. Alafu alikuwa very humble lady familia njema. Eeh bwana nikakaa nakuwaza mhm mzabzab kweli utaweza safari za hospital...ikabidi nimtose tuu mrembo wa watu ila katika pisi kali nilizowahi kugegeda yule alikuwa top of the top
 
Sasa unamtosaje mwenzio wakati na ww unameza njugu?
 
Mengine sawa lkn HIV , Hepatitis na magonjwa mengine ya zinaa unaweza kuletewa tu ndani ya nyumba hata kama kabla ulishampima- naandika huku natetemeka sana ila ndiyo maisha. That's life.

😭😭😭
Getting married now is the riskiest decision a man can make both financially and health wise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…