Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

Hivyo vitu umetaja hapo ndivyo mitihani yenyewe sasa ambayo ukiwa nayo sasa utaprove kuwa unampenda mtu ya dhati ama unaigiza.

Imagine umepata pisi kali halafu unakuja gundua ina Sickle cell anemia. Unafanyaje utamuacha, sasa hapo ukisamama nae ndipo utaprove mapenzi ya kweli kwake.

Au una mwanamke wako vizuri tu halafu akapata ajali ambayo ikamfanya kupooza mwili mzima, utamuacha na hapo ndoa yenu ina week mbil tu.

Nadhani tujifunze kuwa upendo haunaga standards. Wewe unaweza pima hivyo vipimo vyote na mwanamke wako na mkakuta mpo salama ila ukashngaa ukapata tatizo ambalo likakuacha mgonjwa na hujiwezi hata kidogo, je huyu mpenzi wako atakuwa katika hali gani kwenye kukupenda wewe?!

Nadhani ifike wakati tujue tu kuwa MUNGU ndie anatupa mazingira yake ya kufurahia haya maisha so tumuombe neema na kudura zake ili atuhakikishie furaha muda wote katika hali yoyote ile bila kuyumba sana.
Aisee hii ya sickle cell imenikuta. Aisee ile pisi ni mzuri hatari. Alafu alikuwa very humble lady familia njema. Eeh bwana nikakaa nakuwaza mhm mzabzab kweli utaweza safari za hospital...ikabidi nimtose tuu mrembo wa watu ila katika pisi kali nilizowahi kugegeda yule alikuwa top of the top
 
Sasa unamtosaje mwenzio wakati na ww unameza njugu?
 
Mengine sawa lkn HIV , Hepatitis na magonjwa mengine ya zinaa unaweza kuletewa tu ndani ya nyumba hata kama kabla ulishampima- naandika huku natetemeka sana ila ndiyo maisha. That's life.

😭😭😭
Getting married now is the riskiest decision a man can make both financially and health wise
 
Back
Top Bottom