Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Anataka wanyama wawe na uraia pacha...Wewe unyang'anywe tu vyeti na chuo chako. Sasa uraia pacha na rasilimali vinaingilianaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka wanyama wawe na uraia pacha...Wewe unyang'anywe tu vyeti na chuo chako. Sasa uraia pacha na rasilimali vinaingilianaje.
Sawa hakuna kuwauza badala yake vutia watalii waje kuwatazama. Mchukue Christiano apige picha na Pundamilia na Twiga. Uone kama watalii hawatakuja kuwatazama hao wanyama. Mchukue Ed Sheeran naye aje hivyohivyo.Serikali kukataza hii ni kuchochea ujangili tuu. Huwezi kuwaambia watu walale njaa wakati wanyama wa kuuza wapo. Ni akili finyu.
Akili zake sijui zipojeAnataka wanyama wawe na uraia pacha...
Hao ndiyo wanawake waliopata vyeo kwa kutumia tobo zao za chini nasi Akili zao vichwaniYaani aruhusu yeye na kuzuia yeye afu minyumbu inasifu...teh teh
CCM NI MAFII[emoji41]
Kisha utawasikia wanasema mama anachukiwa kwa sababu ya dini ....kweli CCM NI MAVIIHizi issue zao ndio zinafanya wananchi wanakuwa na hasira sana!
Kuna haja gani ya kuuza wanyamapori hai nje ya nchi! ni kwamba tuna shida sana ya pesa au!!!
Kwa maslahi ya nani!?
Hilo ni group la kaoleWaziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Acha zako weweMbowe na lissu wanahusikaje kwenye huo ujinga.jambo lifanywe na watu wengine lawama upeleke kwingine.maccm ndio wanaofuja mali za umma wao ndio wanaopaswa kuambiwa.Ata hivyo ni jukumu la kila mwananchi kupiga kelele pale anapoona rasiliamali za nchi zinatumika isivyopasa.Sasa wewe umefanya wajibu wako kiasi gani au unasubiri mbowe na lissu waseme kila kitu.Wewe ndio uanze kuamka.
K
Kinana amemsikia huyu waziri?
Waziri Mzigo Yaani Shida Sana
Wewe taahira si chwa wa masa 100! Kila siku kushangilia hata kama akijamba! Kwendra zako!Wewe usiwe mburula,shida sio kuuza twiga na Wala sina tatizo hata wakiuzwa..
Swala ni kwa nini ionekane tangazo halina coordination ya serikali? Huu ni ujinga na utoto..
Serikali ilisitisha hiyo biashara kwa sababu ilizotaja sasa kama kuna sababu za kuanza kuuza wanyama hai kuna tatizo Gani ikiwa wanaona inafaa kufanya hivyo?
Huwezi kuwa serikali ya kuvizia kusikia watu watasemaje.
Nchi haina raisView attachment 2251418Waziri Chana ametoa kauli hiyo kufuatia taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni kuwa baadhi ya taasisi zimeanza kusafirisha wanyama hao kwenda nje ya nchi
Akizungumza na wanahabari Jijini Arusha Waziri Chana amesema zoezi la usafirishaji wa wanyama pori nchini limesitishwa mara moja hadi hapo serikali itakapopata taarifa rasmi na serikali kuamua vinginevyo
"Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Pigeni mawe hayo magariNaona kama kuna picha tuna chezewa hapa, mlioko huko wanako pitishwa hawa wanyama muwe macho kutujuza na sisi wa vijijini ili tujue nini kinaendelea huko