Yes, nimeona hicho kitu mkuu.Sasa kati ya zitto na mwananchi wa vijijini huko kigoma nani mwenye Akili timamu? huyo Magufuli Anapoteza mda kuchapisha hilo bango
CAG alishakagua kwa nini chadema haina ofisi kwa miaka 30 sasa?
Tukumbuke CDM ni chama KIKUU cha upinzani ni dhahiri wanahitaji budget kubwa ili kujiendeleza kisiasa.Amini nasema Budget wanayoipata hailandani na Ukubwa wa chama Chao.CAG alishakagua kwa nini chadema haina ofisi kwa miaka 30 sasa?
We hujaona kwamba chama kinashughulikia kadhia hiyo ya uchotajwi wa hizo ela ???!!.
Pia tunataka CAG ashughulikie kadhia ya mapato ya ndege na manununuzi yake.
Bado mnakimbilia elimu whenever mkifitiniwa,learn to grow up...hizi ni kampeni all gloves are off.find something to one up them... Natamani kila mgombea wa upinzani ,kabla ya kuanza kampeni angeuliza swali hili 'kama mTanzania yeyote ambaye maisha yake SASA Yana afadhali kuliko miaka Mitano iliyopita?'Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,
Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Bado mnakimbilia elimu whenever mkifitiniwa,learn to grow up...hizi ni kampeni all gloves are off.find something to one up them... Natamani kila mgombea wa upinzani ,kabla ya kuanza kampeni angeuliza swali hili 'kama mTanzania yeyote ambaye maisha yake SASA Yana afadhali kuliko miaka Mitano iliyopita?'
Hilo bango alipewa mzee aliyemuuzia jamaa kuku sikuizi anatembea naeLeo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 Oktoba mtanyolewa kwa wembe mkali sana.
Nikiona binadamu yupo CCM nafrahi sana sababu najua mbinguni haendi kwaiyo tutakuwa wachacheNikikumbuka namna alivyokuwa akisema kuhusiana na fedha za world bank na pia corona huwa napata maswali mengi kuhusiana na uzalendo wa huyu mtu.
mzee aliyeuza kuku lakiSiasa mchezo mchafu, naamini huyo jamaa ni wa system kaandaliwa na bango lake lile
Sasa unashuhulikia nn ela zmenunulia ndege, hazikupita njia rasmi
Hiyo njia isiyokuwa rasmi zilikopitia hizo ela za ndege ndicho tunachogombana kila siku na nyie, kwanini zisipitie katika njia rasmi, kuna siri gani hapo??!!-- hizo ela sio za CCM wala za serikali ni ela za UMMA.
Hiyo ilikuwa ni njia ya CCM kuchota pesa za umma ili kujenga/kukinusuru chama pia ilikuwa ni njia ya kifisadi kwa wakubwa kujichotea pesa za umma.
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 Oktoba mtanyolewa kwa wembe mkali sana.
Mkuu hivi hiyo clip unayo?Hii ni salaam pia Kwa Lissu, Ha haaaa siku ya tareh 28 next month Tunamkoa kwenzi nzito Sana Lissu akaangukie ubelgiji 😀 , CCM hatupend dharau.
Halaf juzi kaanguka baada ya kusikia kishindo cha JPM
Alisema hazina maana kwa hiyo alitakiwa kuja kigoma kwa gari, sasa kwa nini yeye apande ndege wakati anajua huko kigoma hakuna mtu mwenye uwezo wa kupanda ndege,Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,
Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Alisema hazina maana kwa hiyo alitakiwa kuja kigoma kwa gari, sasa kwa nini yeye apande ndege wakati anajua huko kigoma hakuna mtu mwenye uwezo wa kupanda ndege,
Kumbe huko kigoma ndege hupeleka mbuzi na sio watu.
Atcl zinajiendesha kwa hasara ila mnataka Fastjet irudi washamba wakubwa nyie
Kama kwenu ni masikini wa kutopanda ndege tulia ,wenzio tuko bize kubook ndege hapa Airport, na zimeja
POINT SANA ILA WENGI NI WAGUMU KUELEWAHuo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,