Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Zitto kupanda ndege hakufanyi mimi na wewe tufikiri kuwa katika matatizo yote ya nchi hii, ndege ni muhimu. Hiyo ndege aliyopanda Zitto, ilimpelekea mama wa kijijini maji safi ya kunywa, ilimnunulia dawati mtoto ambaye hana dawati shuleni? Msituminishe kuwa lengo la ndege ni Zitto kupanda. Zitto akipanda basi Watanzania wote tumefaidika?
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768