Pira "OBJECTIVE" ni mbinu ya Robertinho anayoitumia kuwapumbaza wanasimba wasimuhoji juu ya mbinu mbovu anazozitumia

Pale akuna kocha ni takataka tu, uyo Robertinho bado mbinu zake ni za kizamani sana yaani amekaririshwa moja ni moja aiwezi kubadilika na kuwa mbili!
Kocha wa mbinu ni yule anayejua kumsoma mpinzani na kujua afanye Nini kwa wakati gani but Robertinho katika Hilo ameferi mazima maana hii ni mechi yake karibia ya 5 anashindwa kufanya sub zenye akili za kumpa matokeo chanya, utasema uyo ni kocha? Awezi kuwafikisha popote uyu mtakuja kuniambia
 
Kweli kabisa ni wazee wa objective tu.
 
Yaani mnahangaika... Mara Taifa linaenda kupata aibu, mara Ahly mabovu, mnabahatisha ... Mara Objective... Tumetolewa na MakamunBingwa wa Vilabu Duniani , tupone pole! Tumeliabisha Taifa, mtusamehe sana Utopolo!
Duh saivi ndiyo mnasingizia hivyo.
 
Wewe kakune nazi tu kitengo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…