NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
[emoji16] NACHEKA KAMA MAZURIPira objective la kuishia robo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] NACHEKA KAMA MAZURIPira objective la kuishia robo.
NJOO YANGAKama unalitaka na wewe lichukue...
Pale akuna kocha ni takataka tu, uyo Robertinho bado mbinu zake ni za kizamani sana yaani amekaririshwa moja ni moja aiwezi kubadilika na kuwa mbili!Ukweli mchungu lakini ni dawa endapo utafanyiwa kazi japokua unaumiza mioyo ya watu.
Nilimsikia Robertinho akihojiwa Tena aliulizwa na mwandishi '"kwa Nini unapata matokeo lakini timu haichezi vizuri"
Robertinho kwa kujiamini kabisa alisema "kuwa anacheza mpira wenye malengo(objective) yaani point tatu muhimu ili mradi timu isonge mbele"
Msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) naye aligongelea msumari kwa kusapoti kauli mbiu ya kocha Robertinho kuwa "Simba sc inacheza mpira objective"
Kwa tunaojua mpira wenye akili kubwa Kama NALIA NGWENA hapa tunaona kabisa hii kauli ipo kisiasa kwa tafakuri hizi
Kama Robertinho anacheza pira "OBJECTIVE'' alivyopata magoli mawili ya kuongoza kwenye mchezo wa Simba vs Al ahly kwa Nini asiweke mbinu akashikilia bomba akaibuka na ushindi??
Mchezo wa Marudio Simba imeongoza lakini kocha Robertinho kashindwa kabisa kuweka mikakati mpaka Al ahly kachomoa kwa dakika chache Sasa mpira malengo upo wapi??
Hii kauli ya "PIRA OBJECTIVE" ipo kisiasa kufunika uozo wa mbinu hafifu za kocha Robertinho, huu ni ukweli usiopingika.
Robo robo FC wanakwambia wametoka kwa kanuni.[emoji16] NACHEKA KAMA MAZURI
Kweli kabisa ni wazee wa objective tu.Ukweli mchungu lakini ni dawa endapo utafanyiwa kazi japokua unaumiza mioyo ya watu.
Nilimsikia Robertinho akihojiwa Tena aliulizwa na mwandishi '"kwa Nini unapata matokeo lakini timu haichezi vizuri"
Robertinho kwa kujiamini kabisa alisema "kuwa anacheza mpira wenye malengo(objective) yaani point tatu muhimu ili mradi timu isonge mbele"
Msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) naye aligongelea msumari kwa kusapoti kauli mbiu ya kocha Robertinho kuwa "Simba sc inacheza mpira objective"
Kwa tunaojua mpira wenye akili kubwa Kama NALIA NGWENA hapa tunaona kabisa hii kauli ipo kisiasa kwa tafakuri hizi
Kama Robertinho anacheza pira "OBJECTIVE'' alivyopata magoli mawili ya kuongoza kwenye mchezo wa Simba vs Al ahly kwa Nini asiweke mbinu akashikilia bomba akaibuka na ushindi??
Mchezo wa Marudio Simba imeongoza lakini kocha Robertinho kashindwa kabisa kuweka mikakati mpaka Al ahly kachomoa kwa dakika chache Sasa mpira malengo upo wapi??
Hii kauli ya "PIRA OBJECTIVE" ipo kisiasa kufunika uozo wa mbinu hafifu za kocha Robertinho, huu ni ukweli usiopingika.
WanafarojianaRobo robo FC wanakwambia wametoka kwa kanuni.
Wamesahau kanuni ndo zimemfanya atinge makundi CAFCL mbele ya power dynamos.
Wamebaki kujifariji kwamba wao ni wakubwa kuliko timu zote afrika mashariki.
Duh saivi ndiyo mnasingizia hivyo.Yaani mnahangaika... Mara Taifa linaenda kupata aibu, mara Ahly mabovu, mnabahatisha ... Mara Objective... Tumetolewa na MakamunBingwa wa Vilabu Duniani , tupone pole! Tumeliabisha Taifa, mtusamehe sana Utopolo!
Saivi wanasema wametolewa kwa kanuni.Kweli kabisa ni wazee wa objective tu.
We jamaa si ndo ulipost tutapgwa sjui 7-0 tuabishe taifa,,,au unatak tukuoneshe ushahidi vitu unavyo ropokaga tu hovyoDuh saivi ndiyo mnasingizia hivyo.
Kuna watu wakilisikia hilo jina wanapata kizunguzungu mkuu,usipende kulitaja kabisaMbinu za Ihefu ndio nzuri
Vp pira mbarari pale ihefu ilkuwaje🤣🤣Pira objective au pira butua butua? Maana ni vurumai tu na magoli ya kubahatisha
UNAJUA MAANA YA "OBJECTIVE"Wewe ni popoma tu. Robertinho amecheza mpira kwa kiwango cha juu na ni kocha wa daraja la juu. Sasa wewe kilaza unataka kutuambia nini?
OneshaWe jamaa si ndo ulipost tutapgwa sjui 7-0 tuabishe taifa,,,au unatak tukuoneshe ushahidi vitu unavyo ropokaga tu hovyo
Wewe usiye mbumbumbu kikowapi na ihefuTatizo hampendi ukweli "mbumbumbu Fc'
Wewe kakune nazi tu kitengo chakoUkweli mchungu lakini ni dawa endapo utafanyiwa kazi japokua unaumiza mioyo ya watu.
Nilimsikia Robertinho akihojiwa Tena aliulizwa na mwandishi '"kwa Nini unapata matokeo lakini timu haichezi vizuri"
Robertinho kwa kujiamini kabisa alisema "kuwa anacheza mpira wenye malengo(objective) yaani point tatu muhimu ili mradi timu isonge mbele"
Msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) naye aligongelea msumari kwa kusapoti kauli mbiu ya kocha Robertinho kuwa "Simba sc inacheza mpira objective"
Kwa tunaojua mpira wenye akili kubwa Kama NALIA NGWENA hapa tunaona kabisa hii kauli ipo kisiasa kwa tafakuri hizi
Kama Robertinho anacheza pira "OBJECTIVE'' alivyopata magoli mawili ya kuongoza kwenye mchezo wa Simba vs Al ahly kwa Nini asiweke mbinu akashikilia bomba akaibuka na ushindi??
Mchezo wa Marudio Simba imeongoza lakini kocha Robertinho kashindwa kabisa kuweka mikakati mpaka Al ahly kachomoa kwa dakika chache Sasa mpira malengo upo wapi??
Hii kauli ya "PIRA OBJECTIVE" ipo kisiasa kufunika uozo wa mbinu hafifu za kocha Robertinho, huu ni ukweli usiopingika.
Robertinho yupo sahihiRobertinho kwa kujiamini kabisa alisema "kuwa anacheza mpira wenye malengo(objective) yaani point tatu muhimu ili mradi timu isonge mbele"