Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
KWELI KABISA UMEONGEA KIMPIRA SANAShame to BOARD,, ROBERTINO weakness zilionekana miezi mingi sana..
-fianali ya ngao ya hisani TANGA, mwanzo mwisho very poor to simba
- Kufuzu champions LEAGUE kwa manusura
-Ufunguzi wa African league tumechezewa ma AL AHLY kinyonge mbele ya viongozi wakubwa, saidia tu papatu za magoli ya headers
- simba haichezi soka inayoeleweka
- timu wachezaji haina nguvu
- line up za mechi simba , huelewi ROBERTINO. Vipi MANULA asiye na match fitness aanze
-simba inafungwa 5, sio wala kubahatisha uwezo;wa YANGA umeeonekana. Sikumbuki clear chances za simba ukiacha goal la KIBU na shuti la BALEKE
- subirini, championship league, hata robo sijui.
Shame to BOARD OF SIMBA
ANAPITA KIMYA KIMYA TU.Njoo na leo
KAKIMBIA VIBAYA SANANjoo
[emoji16]Tatizo simba mnawaamini sana waropokaji wenu. Yaani mnatembea mitaani vifuani mwenu mmejazwa Ujinga wa ahamed ally. Mnakumbuka hata kipindi cha manara? Ilikuwa akiwajaza mnajazika. Mpira si bla blaa za ahamed ally. Ondokeni huko. Pira ni pareeee...! Uwanjani
Wameliona Hilo [emoji16][emoji2772]Hatimaye wamegundua
ENDELEA KUSHUPAZA SHINGOEti Kwa tunaojua Mpira...wabongo bwana kwamba unajua Mpira kumzidi kocha professional...wewe uliusomea wap
[emoji16][emoji2772]Tarehe 5 sio mbali sahivi pasi mbili krosii Ngoma na Kanoute wanaruka kichwa kamba
[emoji2772][emoji16]Kama unalitaka na wewe lichukue...
Tunachosubiri team yako imfunge Robertihno na mbinu zake mbovu hapo tutaamini historia ndefu uliyoandika .