Pira "OBJECTIVE" ni mbinu ya Robertinho anayoitumia kuwapumbaza wanasimba wasimuhoji juu ya mbinu mbovu anazozitumia

Pira "OBJECTIVE" ni mbinu ya Robertinho anayoitumia kuwapumbaza wanasimba wasimuhoji juu ya mbinu mbovu anazozitumia

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ukweli mchungu lakini ni dawa endapo utafanyiwa kazi japokua unaumiza mioyo ya watu.

Nilimsikia Robertinho akihojiwa Tena aliulizwa na mwandishi '"kwa Nini unapata matokeo lakini timu haichezi vizuri"

Robertinho kwa kujiamini kabisa alisema "kuwa anacheza mpira wenye malengo(objective) yaani point tatu muhimu ili mradi timu isonge mbele"

Msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) naye aligongelea msumari kwa kusapoti kauli mbiu ya kocha Robertinho kuwa "Simba sc inacheza mpira objective"

Kwa tunaojua mpira wenye akili kubwa Kama NALIA NGWENA hapa tunaona kabisa hii kauli ipo kisiasa kwa tafakuri hizi

Kama Robertinho anacheza pira "OBJECTIVE'' alivyopata magoli mawili ya kuongoza kwenye mchezo wa Simba vs Al ahly kwa Nini asiweke mbinu akashikilia bomba akaibuka na ushindi??

Mchezo wa Marudio Simba imeongoza lakini kocha Robertinho kashindwa kabisa kuweka mikakati mpaka Al ahly kachomoa kwa dakika chache Sasa mpira malengo upo wapi??

Hii kauli ya "PIRA OBJECTIVE" ipo kisiasa kufunika uozo wa mbinu hafifu za kocha Robertinho, huu ni ukweli usiopingika.
 
Ukweli mchungu lakini ni dawa endapo utafanyiwa kazi japokua unaumiza mioyo ya watu.

Nilimsikia Robertinho akihojiwa Tena aliulizwa na mwandishi '"kwa Nini unapata matokeo lakini timu haichezi vizuri"

Hii kauli ya "PIRA OBJECTIVE" ipo kisiasa kufunika uozo wa mbinu hafifu za kocha Robertinho, huu ni ukweli usiopingika.
Nonsense
 
Kilio cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! kinakuhusu!! ulitabiri simba kufungwa na haikufungwa!! Ahly si mbabe kwa Simba kama ulivyotarajia!!
 
Kilio cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! kinakuhusu!! ulitabiri simba kufungwa na haikufungwa!! Ahly si mbabe kwa Simba kama ulivyotarajia!!
HIVI MMETINGA FAINALI.??
 
Back
Top Bottom