Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

Thread hii haiwatendei haki baadhi ya wadada na wamama walioolewa!

Hivi mleta mada unadhani kila mwanamke aliyeolewa amefikia furaha yake ya maisha katika suala la sex?

Wapo walioolewa lakini hawajawahi kufikishwa kileleni,
Je, mwanamke huyu unamsaidiaje?

Wapo walioolewa kwa kulazimishwa, na hawana feeling na mume
Je, Unataka aishi maisha yake bila kupata sex ya mwanaume anaemfeel ili nae afurahie sex walau marachache ya maisha yake

Wapo wanawake ambao waume wamepoteza uwezo labda kwa maradhi, ajali au ulevi
Je, Unataka mwanamke huyu aishi bila sex huku misisimko ya sex inamtafuna?

Wapo wanawake wameolewa na waume, vicheche, na mwanamke anaumia daily
Je, unataka naye asibalance equation ili kupunguza maumivu ya moyo?

Wapo wanawake wameolewa na waume wanyanyasaji, watesaji, gubu
Yaani ndani ni vurugu Kama Vita ya Congo
Kwa Hali hii mwanamke automatically anapoteza furaha ya sex na mumewe
Je, Unataka mwanamke huyu, aendelee kukosa haki yake ya kibaiolojia ya kupata sex?

Ili suala la sex nje ya ndoa lisitokee kwa jinsia zote basi conditions zifuatazo ziwepo

1. Waume wote wawe sawa kiuwezo wa fedha, uwezo wa sex, tabia zao na mwonekano wao

2. Wanawake wote wawe na mwonekano sawa kimaumbile na tabia sawa

3. Majanga yanayoathiri mifumo ya afya ya uzazi yaondolewe

Suala la kulinda ndoa waachiwe Wana ndoa wenyewe, wakiweza wamshukuru Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…