Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

Hujui raha ya kutembea na mke wa mtu wewe, wake za watu ni watamu sana na ukiwa nae unakuwa na nguvu sana kuliko hawa wenye njaa kila dakika.
Faida nyingine hawana gharama na hela za mume wake unaweza ukala pia

Kuna mmoja nilikuwa namgonga utamu ulipomkolea nilishtuka akaanza kumporomoshea mitusi ya nguoni mume wake wa ndoa

NB: Kijana kama huwezi kuhimili maumivu ya kuchapiwa kataa ndoa
 
hata hao mademu wengine ni wake/wachumba za wanaume wanaoishi uchumba suguuu. Kile kitendo tu hata ka ni mara moja kinaamsha mwendelezo hata ka ni wa kimya kimyaaa

Hakuna koloni/adhi isiyo na mmiliki, issue tu ni kutokufanya maamuzi ya urasimishajiii
Maoni ya mke wa mtu, anayemiliki mume wa mtu yanafanana na haya!
 
Story za kuchapiwa Zimebamba Sana Tangu January hii ianze, mabinti zetu watakosa waume
Mi nimesurrender asee ngoja nikamue kitabu sasa nitafute maisha thread za uzinzi nilizosoma zinatisha Sana unaweza ukafa na presha ingali bado kijana mdogo bro shukrani kwa maoni na thread zako pia 🖐️
 
Maisha duniani ni changamoto sana aisee,,, Yaani mke wa mtu anaweza kukuambia eti "sijawahi kupenda kama ninavyokupenda" Sasa kwa maneno hayo kijana wa watu atachomoka kweli jamani?
Imekutokea nn 🤣🤣🤣
 
Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo.

Kwanini utembee na mke wa mtu?
Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili.

Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako.

Mkesha wa mwaka mpya Kuna mwamba hapa kitaaa alimfumania mke wake akiwa na dereva bodaboda ambae walikua wakimwagiza mizigo yote ya nyumbani😬🚮

Leo hatunae Tena baada ya jamaa kuamua kujiua huku akiacha meseji inayomtuhumu mke wake na bodaboda Kwa mauwaji, mke wake na boda boda wanashikiliwa na jeshi la polisi

Inauma sana ni kama kumfungulia mkeo duka afu analiwa na wateja.

R.I.P mwamb!!
Mrejesho mkuu hii kesi ilishaje!!!
 
Maisha duniani ni changamoto sana aisee,,, Yaani mke wa mtu anaweza kukuambia eti "sijawahi kupenda kama ninavyokupenda" Sasa kwa maneno hayo kijana wa watu atachomoka kweli jamani?
Hahaha
 
Back
Top Bottom