Nilinusurika kumbandua mmoja ila nilimshitukia alitaka kufanya ngono na mimi ili ku-balance equation na mumewe. Yaani mumewe alitembea na demu mwingine, mke ikamuuma, akataka alipize kisasi kama kupitia mimi kwa sababu tulikuwa na ukaribu wote watatu.
Kwa kweli tulikubaliana vizuri na kama penzi lilikuwa limenoga hivi, ila kabla ya kufanya hapo.
Nilichoshituka kuna siku alinipigia simu usiku kama saa 6 hivi, akawa anaongea kwa mahaba. Anauliza hivi unanipenda kweli? nikamjibu nakupenda.
Baada ya kumaliza kuongea simu haikukatwa kwa bahati mbaya. Nikamsikia jamaa ake anamuuliza, kwa hiyo na wewe umeamua kumpigia basha wako sio?
Demu akajibu dawa ya moto ni moto na vitu vingine vingi.
Siku ya 2 nikamwambia kabla na baada ya kufanya mapenzi, naomba asijue binadamu yeyote yule, anaweza?
akasema hilo halina tatizo yeye mwenyewe anapenda siri. Ila anataka tukifanya tu, kuna fala mmoja tu inabidi ajue.
nikamuuliza ni nani? akamtaja mume wake kwa jina.
Nikajisemea moyoni kumbe watu huwa wanakufa kimasihara ee!