Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

Eeh!

Mental illness ni hatari sana dah! Sijamwelewa kabisa huyo jamaa uamuzi aliouchukua😲😲😲
Mkesha wa mwaka mpya Kuna mwamba hapa kitaaa alimfumania mke wake akiwa na dereva bodaboda ambae walikua wakimwagiza mizigo yote ya nyumbani😬🚮

Leo hatunae Tena baada ya jamaa kuamua kujiua huku akiacha meseji inayomtuhumu mke wake na bodaboda Kwa mauwaji, mke wake na boda boda wanashikiliwa na jeshi la polisi
Hii inatisha hii yani kisa ni mapenzi ndio anaweza kufikia kufanya maamuzi kama haya, In reality nadhani tunahitaji kuwa makini na wapenzi tulionao au tuliochagua kiungia kwenye mahusiano...

Unaweza wewe ukawa sahihi lkn upande wa mwenzio ikawa tofauti yani tafrani...😲😲😲
 
Eeh!

Mental illness ni hatari sana dah! Sijamwelewa kabisa huyo jamaa uamuzi aliouchukua😲😲😲

Hii inatisha hii yani kisa ni mapenzi ndio anaweza kufikia kufanya maamuzi kama haya, In reality nadhani tunahitaji kuwa makini na wapenzi tulionao au tuliochagua kiungia kwenye mahusiano...

Unaweza wewe ukawa sahihi lkn upande wa mwenzio ikawa tofauti yani tafrani...😲😲😲
😃😃😃😃 Trauma ya saikolojia ni hatari sana inaweza kukufanya ukafanya chochote
 
Back
Top Bottom