DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Neno linasema ;
Ebr 8:12
Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
Waulize waoliofanya Uzinzi kabla yako Mambo yanaendaji in their life circulation .
Unabidi kujitenga na Uzinzi tangu ukiwa Mdogo sio unayajua haya mambo ukubwani na unayajua baada ya kufanya Uzinzi mkubwa ambao umeota Mbawa .
Hiyo italipwa Mkuu uzagamuaji hauna msamaha.