keki ya harusi
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 271
- 430
MssikoloMisidi call([emoji777]) = misst call([emoji818])
Missed call
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MssikoloMisidi call([emoji777]) = misst call([emoji818])
Missed call
Aki ya mungu[emoji13] [emoji13] [emoji13]KISEMSII badala ya K C M C
Nyingine ni ile taa wanaita Chemli badala ya CHIMNEY
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mbona umemdipu mara tatu?
Kioo hakidanganyi?
[emoji23]Ngoja kwanza mtoa mada ntakudipu.
Umeumbua mtu alitaka kutupeleka chaka
Mnaletewa kondomu800 itapendeza ivi yale ma billion mbona kama zile milion hamsin za kila kijiji azifkii
Mnaletewa kondomu
1.Wamachinga=Matching guy
2."'Inshu"-issue
HahahaBibi yangu hana mume na awezani gemu mpeni chake kabla condomu kuja au condom za kula ?
Hapo kwa CRDB umeingia cha kike... Ile ni CRDB bank na wala sio CRD Bank "CRDB" imesimama kama jina na wala sio initials.CRDB Bank => CRD Bank
NMB Bank => NM Bank
Mkuu naomba uniache tu maana wakat naandika nilikua na frustrations zanguHalafu wewe mkorofi.Haya maneno si alikosea baba nanili?
We ndo umekosea. Hizi bank zote kwa Sasa hazitumii virefu vyake.CRDB Bank => CRD Bank
NMB Bank => NM Bank
Hapo kwa CRDB umeingia cha kike... Ile ni CRDB bank na wala sio CRD Bank "CRDB" imesimama kama jina na wala sio initials.