Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Kuna mtu kanambia nisijibizane na taahira ila nahisi ntakuwa namkosea Mungu.

Sikiliza wewe zwazwa uchwara... ile ni CRDB bank. Hapo B haisimamii neno Bank. CRDB ni jina linalojitegemea.... CRDB plc .

Ni tofauti na TIN ambapo N inasimama kwa neno Number. Tofauti na CCM ambapo M inasimamia neno Mapinduzi

Ni kazi yangu kufundisha mataahira kwa hiyo sitachoka kukufundisha japo wengine wakinishangaa kwanini nakomaa na wewe. Nataka kuwathibitishia watu kuwa hata mataahira wanafundishika.
Kama upo Serious tuwekeane Dau la Laki kwa Laki kishe Tuende Brela Tuitishe file tusisome Memorandum ya CRDB tupate jibu ubishi na ujinga uishe. am sure unaona Baja kukubali ukweli upo kama Shetan king'ang'anizi mtetea Dhambi
 
Thus why [emoji777]
That's why [emoji736]
 
Wenye akili na uelewa wao wanakuona we ndezi sana. Badala ya kushukuru nakufuta ujinga we unajifanya mjuaji

Ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank...

Wanaosema TIN Number ni wajinga kama wewe unaedhani mpaka leo CRDB kuwa hapo "B" inasimama kama initial ya neno Bank

Ficha upumbavu na ufala wako. Fanya homework uende na wakati. Ukishaufuta ujinga uje hapa kunishukuru

Kwani shuleni ulienda kusomea ujinga?
Hamna akili hapa mkuu
Ni CRDB na siyo CRDB Bank...
Ni TIN na siyo TIN Number
Usi justify kosa kwa kusimamia upande wa kosa halafu uuishie kujiona ndo mjuvi.
Pole sana
 
Hamna akili hapa mkuu
Ni CRDB na siyo CRDB Bank...
Ni TIN na siyo TIN Number
Usi justify kosa kwa kusimamia upande wa kosa halafu uuishie kujiona ndo mjuvi.
Pole sana
Kumbe na wewe ni kiazi... nlikuwa nakuaminia sana ujue...

Hivi unajua ku google?
 
We pumbavu issue nzima ni CRDB inatakiwa isimame kama ilivyo na sio kuiongezea bank mtoa hoja alisema watu wanakosea sababu ikitamkwa CRDB Bank inaleta mameno Bank Twice huku kuendelea kujibizana na boya kama wewe uliezoea na kuishi na wanawaake wengi zaidi wa wanaume ndio yamekufanya unaleta Shida Duniani katika Maongezi ndio maana majibu yako ni ya kike kike ya kusuta baya zaidi akili zero kichwani mwako
We bwege angalia hata mabango yao wenyewe...
DSC_0148.JPG


Angalia hata flana zao we jinga

staff.JPG


Nyambaf wahed
 
Hamna akili hapa mkuu
Ni CRDB na siyo CRDB Bank...
Ni TIN na siyo TIN Number
Usi justify kosa kwa kusimamia upande wa kosa halafu uuishie kujiona ndo mjuvi.
Pole sana
DSC_0148.JPG


staff.JPG
 
1.Wamachinga=Matching guy
2."'Inshu"-issue
Hakuna kitu cha matching guy.....wafanya biashara ndogo ndogo jijini Dar asili yao ni Kusini kwa Wamachinga na ndio maana kila mmoja akawa anaitwa Mmachinga. Au hujui kuwa kuna kabila la Wamachinga?
 
Somehow / Somewhat. Wa tz hatujui kuzitumia.

Unaendeleaje afya yako utasikia somehow i feel good[emoji22]
 
Back
Top Bottom