Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Mimi niko Brela we Kenge, ndo maana nakuelewesha ufute ujinga wango.
Piga copy kurasa za Memorandum ya CRDB ilipoandikishwa mwanzo na watu ndio hadi leo wanaichukulia wrong Kumbe upo jikoni wewe ndie yule mtoa risiti au yule Askari mlinzi wa Tigo pesa au yule Mbulu
 
Nidipu basi nisevu au nipe yakwako mm nikudipu. Oo sore kumbe ata yakwangu aidipu.
 
Hata na wewe angalia vizuri initials kivipi wakati ni abbreviations za COOPERATIVE & RURAL DEVELOPMENT BANK? (Sio jina)
Nakuonea aibu sana....

Hebu fanya homework yako vizuri. Naona bado uko zama za kale. Hakuna cha abbreviations kama zamani. Hivi sasa inaitwa CRDB Bank. CRDB hivi sasa ni jina kama ilivyo Augustino.
 
Piga copy kurasa za Memorandum ya CRDB ilipoandikishwa mwanzo na watu ndio hadi leo wanaichukulia wrong Kumbe upo jikoni wewe ndie yule mtoa risiti au yule Askari mlinzi wa Tigo pesa au yule Mbulu
Walimu wana kazi sana. Kumfundisha mwanafunzi wa aina yako ni bora umfundishe mbuzi kupiga gitaa
 
Ukiwa mpumbavu always utabaki hivyo hivyo Leo tu Kimei kakiri kuwa crdb baada ya kubinfishwa imemaintain jina CRDB na wala Hakusema CRDB Bank. upumbavu wako kaa nao hivyo hivyo maana umegeuza heading unavyotaka wewe mtoa mada kasema maneno yanayokosewa kutamkwa na ukitamka CRDB Bank ni kosa full stop ila haikufanyi ukose huduma pale kaweke pesa zako unazo omba omba mgogo wewe. Brela umeshindwa kwenda
Kakojoe ulale we lofa

Ile ni CRDB Bank

Sio Cooperative and Rural Devevelopment Bank kama zamani ...CRDB plc.

Mama yako kweli kazaa hasara.

Gadem...
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Nakuonea aibu sana....

Hebu fanya homework yako vizuri. Naona bado uko zama za kale. Hakuna cha abbreviations kama zamani. Hivi sasa inaitwa CRDB Bank. CRDB hivi sasa ni jina kama ilivyo Augustino.
True, nimeelewa baada ya ufafanuzi, ila kuelimisha jamii inataka kipawa wengi humu JF wana elimu maridhwa tatizo jazba .
 
True, nimeelewa baada ya ufafanuzi, ila kuelimisha jamii inataka kipawa wengi humu JF wana elimu maridhwa tatizo jazba .
Nashukuru kwa kuelewa kiongozi. Sasa nakuomba uungane nami kumwelewesha huyu dogo Mlaleo ambaye bado anashi kwenye zama za kale za mawe.

Kwa akili yake anadhani mpaka leo NMB ni National Microfinance Bank na wala sio NMB Bank
 
NMB Bank Plc kuanzia july mwaka huu... Zamani ilikuwa National Microfinance Bank Plc
 
Back
Top Bottom