kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Your browser is not able to display this video.
Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkaleta ujuaji mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais wa nchi mwenye taarifa lukuki 🥺
⚫Poleni sana
Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attacks,blood pressure.
"Msidhani kua mnapendwa sana -In Magufuli voice"
Nakumbuka Hii kauli ya Magufuli aliisema akiwa chato kuonya kuhusu corona virus vaccine
Leo hii wazungu wanakiri wenyewe ni very risky, damage ni kubwa
RIP JPM,RIP Mwamba