jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Yaani Raia wakizungu wanamjua na wanamkubali sana sijui kwasababu gani, yani kipindi yupo hai Akiwa anatoa hotuba wazungu wanamsikiliza, niliwai kuwasikia wazungu wafurahia Magufuli kukataa lockdown na chanjo wazungu wengi waliokuwepo nchi hawaja chanja chanjo hawazitaki na hawaziamini, kuna Mwarabu kutoka Irani alikuwa anasema Magufuli sawa Samia Matatizo na huyo anayesema hayo ni Raia wa nje.Itafika siku jina la Magufuli litakuwepo kwenye somo la historia na hapo ndio tutajua yule ni nabii