Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ndio, nimeshawahi.ebu niambie mkuu, kwa miaka hii ya karibuni ushawai kusikia nabii wa kiislamu au nabii wa mabohora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, nimeshawahi.ebu niambie mkuu, kwa miaka hii ya karibuni ushawai kusikia nabii wa kiislamu au nabii wa mabohora?
zaidi ya Muhammad (S.W.A) kwa Waislamu hakuna tena nabii kwa upande waoNdio, nimeshawahi.
Kwahiyo Manabii wa kiislam walikuwepo?zaidi ya Muhammad (S.W.A) kwa Waislamu hakuna tena nabii kwa upande wao
Chifu,Ukiona moshi,kuna moto!...
Lisemwalo lipo
Umejibu usichoulizwa soma mara mbili mbili kabla ya kujibu mtihani.Yule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Jibu wewe vizuri, wacha Mimi nipate sufuriUmejibu usichoulizwa soma mara mbili mbili kabla ya kujibu mtihani.
Pole sanaChifu,
Hivi hizi consipiracy za mara chanjo ile inaleta ugumba, mara chanjo ile inaumiza nguvu za kiume... consipiracies za namna hii zimeanza lini?!
Na mara nyingi Consipiracy Theorists wamekuwa wakisema target ni Africa... now tell me: tangu hizi consipiracy zianze miaka nenda rudi, hivi ni kweli Afrika ndo bara ambalo population yake inapungua?!
Majority of Tanzanians tumedungwa michanjo mara ya ndui, mara ya surua, mara sijui ya nini... je, huko kuzaana Tanzania kumeshuka?!
Ukweli ni kwamba, hivi sasa kwa Tanzania kuna minimal birth rate lakini sio kwa sababu ya chanjo bali watu wenyewe, hususani mijini hawataki mambo ya kuzaa ovyo ovyo!! The same applies to other nations ukitoa nchi kama China zenye sheria za watu kutozaa ovyo ovyo!!!
Na hizi sex toys zilizojaa kila mahali, huku technolojia ikituletea very sexy sex toys, ndo kabisa... no one will have to give you dangerous vaccines eti ili usizae wakati mazingira tu yanaku-encourage usizae!!
Unmarried couple zikipigana mimba kitakachofuata ni mvutano wa "toa mimba, sitaki... usitoe; natoa"!!Sasa hapo birth rate ikishuka ndo msingizie chanjo wakati ni watu wenyewe hawataki kuzaa?!
Kumbe wwe bado mdogo! Waulize Wapemba ndiyo wanamjua Mkapa vizuri! Magufuli yake mbona ni madogo sana anayotuhumiwa nayo!!Sasa mkapa asemwe kwa uovu upi? Jamaa alikuwa mwizi, muongo na muuaji, vichwa maji wakamwamini. Inabidi historia yake iandikwe ili Taifa kama Taifa tusije rudia kosa
Yule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
hhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umeua mzee babaYule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Hakukataa uwepo wa Covid, alijua hipo ila alikataa chanjo kabla hajalidhishwa nazo! Kuthibitisha kama alikuwa anatakbua uwepo wa Covid 19 ni pale alipowaambia mjifukize, mfanye mazoezi na mtumie dawa kama Covidol ambazo zinatengenezwa hapa nchini pamoja na kunywa tangawiziYule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Wewe unafirwa na mwanao?kajifunze tena kilichomuua magufuli wewe malaya shoga jembamba.
unakazwa na baba yako mzazi.
Hao nyumbu huwa hawaelewiHakukataa uwepo wa Covid, alijua hipo ila alikataa chanjo kabla hajalidhishwa nazo! Kuthibitisha kama alikuwa anatakbua uwepo wa Covid 19 ni pale alipowaambia mjifukize, mfanye mazoezi na mtumie dawa kama Covidol ambazo zinatengenezwa hapa nchini pamoja na kunywa tangawizi
Unakataa chanjo toka kwa reknowned world class manufacturer la Johnson & Johnson au Pfizer, halafu unakunywa togwa la MADAGASCAR kwa kusimuliwa tu kuwa linaponya. Hapo unategemea COVID 19 ikukopeshe? NOWAYHakukataa uwepo wa Covid, alijua hipo ila alikataa chanjo kabla hajalidhishwa nazo! Kuthibitisha kama alikuwa anatakbua uwepo wa Covid 19 ni pale alipowaambia mjifukize, mfanye mazoezi na mtumie dawa kama Covidol ambazo zinatengenezwa hapa nchini pamoja na kunywa tangawizi
mbona mkisikia jina magufuli mnajambajamba why lakiniYule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Sawa mkuuKumbe wwe bado mdogo! Waulize Wapemba ndiyo wanamjua Mkapa vizuri! Magufuli yake mbona ni madogo sana anayotuhumiwa nayo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mimi sijachoma na sitachoma,jiandae kuzaa matoto mazezeta akili kama mapimbi.Mimi sijachoma na ninadunda, hapo vipi?
Kati ya yule na wewe nani pimbi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.