Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

Haya, jibu hoja iliyoletwa mezani sasa.
Hoja ni kwamba wataalam wote wa dunia hii kuanzia wachina, wajapani, wahindi, waarabu, wazungu nk na utaalam wao wote, na sayansi yao yote, ni wajinga kulinganisha na Magufuli na wafuasi wake. Haya kafanye sherehe.
 
Yule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.

COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.

Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Hawa inabidi uwafurahishe. Waambie mataifa yoooote yaliyoendelea na utalaam wao wote ni wajinga ila Magufuli na wao ndiyo wajanja. Waambie Magufuli aliwaweza sana.
 
Una elimu gani chakubanga wewe? immunology ya matako?

Hayo mavitini ya biology nayo ni elimu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Elimu wanayo hao wanaokulisha machanjo yenye sumu huku unakenua tu.
Yaani kukaririshwa elimu ya mzungu,eti nae tayari anajiona ana elimu! Wakati hiyo elimu yake hawezi hata tengeneza Panadol!! Kuna watu wengine mandezi sana, msamehee bure tu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ni kwamba wataalam wote wa dunia hii kuanzia wachina, wajapani, wahindi, waarabu, wazungu nk na utaalam wao wote, na sayansi yao yote, ni wajinga kulinganisha na Magufuli na wafuasi wake. Haya kafanye sherehe.
Tofautisha kati ya ‘ujanja’ na ‘maono’. JPM alikuwa na maono. Ampumzike kwa amani.
 
Kwani ulisikia usipochoma utakufa? Wako wengi hawakuchoma. Pia wako wengi ambao wako hai kwa sababu walichoma. Unafikiria maisha yamerudi kama zamani Ulaya America na Asia kwa sababu gani? Ni chanjo inasaidia. Kuna wapumbavu wanaona wajapani, wachina, wahindi, wakorea, waingereza, wajerumani, waarabu, wamarekani n.k na utaalam wao wote ni wajinga ila Magufuli ndiyo mwenye akili. Kiwango cha juu cha upumbavu hiki.
Njoo nikudunge chanjo ya shahawa.
 
Hoja ni kwamba wataalam wote wa dunia hii kuanzia wachina, wajapani, wahindi, waarabu, wazungu nk na utaalam wao wote, na sayansi yao yote, ni wajinga kulinganisha na Magufuli na wafuasi wake. Haya kafanye sherehe.
Una utaalamu gani wewe zaidi ya kubugia machanjo yenye sumu tu?
 
Yaani kukaririshwa elimu ya mzungu,eti nae tayari anajiona ana elimu! Wakati hiyo elimu yake hawezi hata tengeneza Panadol!! Kuna watu wengine mandezi sana, msamehee bure tu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ni huzuni sana na ndio hawa wanaitwa madokta ukiende hospitali wanakudunga sumu kwa jina la chanjo.

Hawajui chochote na ni wabishi kuliko.
 
Itafika siku jina la Magufuli litakuwepo kwenye somo la historia na hapo ndio tutajua yule ni nabii
Ni kweli kabisa, litaingizwa kwa kusema alikataa kuwepo kwa COVID19 Tanzania lakini hiyo COVID19 aliyokataa kuwepo ikaja ikamuondoa Duniani!
 
Yaani Raia wakizungu wanamjua na wanamkubali sana sijui kwasababu gani, yani kipindi yupo hai Akiwa anatoa hotuba wazungu wanamsikiliza, niliwai kuwasikia wazungu wafurahia Magufuli kukataa lockdown na chanjo wazungu wengi waliokuwepo nchi hawaja chanja chanjo hawazitaki na hawaziamini, kuna Mwarabu kutoka Irani alikuwa anasema Magufuli sawa Samia Matatizo na huyo anayesema hayo ni Raia wa nje.
Mbona hayo mambo raia mtaani wanayafahamu??

Achana na hawa wanaopost hapa kwa malipo.

Magufuli yupo mioyoni mwa watu.

Mungu atatuletea kiongozi mwingine kama yeye.

Let us not lose Hope.
 
NWO lazma wenye akili wafikirie kupunguza watu ili kuendana na resources zilizopo hii mipango Haijaanza leo wala jana na kila mkigundua wanakuja na plan mpya
 
Hakuna, Ulaya hakuna vyeti feki kama ulivyo kuwa navyo wewe kule ulaya kusoma hakuna short kati ndiyo Maana hukuti wanatumbuliwa kwa vyeti feki kama wewe ulivyo tumbuliwa, Na uta msaau Magufuli maisha yako yote wewe na Familia yako kwa kitendo cha kutumbuliwa kwa vyeti feki.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi nimesema hata ulaya kuna watu kama wewe ila wewe mbona kama umepaniki? Kwani wewe ni mtu wa ajabu
😂😂😂😂😂😂😂
 
Tofautisha kati ya ‘ujanja’ na ‘maono’. JPM alikuwa na maono. Ampumzike kwa amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti alikuwa na maono shujaa wenu wa Sukuma gang
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona hayo mambo raia mtaani wanayafahamu??

Achana na hawa wanaopost hapa kwa malipo.

Magufuli yupo mioyoni mwa watu.

Mungu atatuletea kiongozi mwingine kama yeye.

Let us not lose Hope.
Watanzania hawataki tena mtu kama yule kwa level ya Urais, mwende mkaongoze ng'ombe labda, sukuma gang hawafai kabisa. Nchi ilipita kipindi cha giza kwakweli
 
Corona was real but vaccine zake zote ni sumu na biashara za watu.

Ule ugonjwa ungeweza pita bila tabu kwa wenye imara

Sema Waka u hype ovarate wapige pesa.

Yawzekana pia watu walikufa kwa sababu zingine mjue pia Kuna wahuni wanadili na depopulation kutimiza malengo yao.

Wengine walikufa kwa uoga tu.

Wengine waliondolewa hasa wale walionekana ni vikwazo kutimiza malengo.

Walidai afrika zitaokotwa maiti lakini wapi!?

Miaka 2 baadae ni kama hakuna kilichotokea.

So siku nyingine wakianza kuupampu ugonjwa Fulani tulie kwanza msianza kuhaha.

Rudini kwenye tafakuri jadidifu mpate mueleko sahihi wa maamuzi mtayochukua.

mZiLaNkeNdE alikuwa sahihi kuikataa korona ila approach yake ilikuwa ya kishamba na kijinga
 
Watanzania hawataki tena mtu kama yule kwa level ya Urais, mwende mkaongoze ng'ombe labda, sukuma gang hawafai kabisa. Nchi ilipita kipindi cha giza kwakweli
Hayo ni mawazo yako binafsi.

Wapo wanaohitaji mtu kama huyo.

Aina ile ya uongozi ndio sahihi na wananchi wanaikubali mno.
 
Back
Top Bottom