Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

Hayo ni mawazo yako binafsi.

Wapo wanaohitaji mtu kama huyo.

Aina ile ya uongozi ndio sahihi na wananchi wanaikubali mno.
Mkuu unatania au kweli uko serious? Nani anataka kuongozwa na mtu katili kama yule?
 
Hakuna, Ulaya hakuna vyeti feki kama ulivyo kuwa navyo wewe kule ulaya kusoma hakuna short kati ndiyo Maana hukuti wanatumbuliwa kwa vyeti feki kama wewe ulivyo tumbuliwa, Na uta msaau Magufuli maisha yako yote wewe na Familia yako kwa kitendo cha kutumbuliwa kwa vyeti feki.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂
Kuandika tu haujui, lakini unajifanya kujadili maswala muhimu. Sijui kama unajua kuwa hujui hata kuandika
 
Marais wote watakaoitawala Tanzania majina yao yatakuwepo kwenye somo la Historia
Itafika siku jina la Magufuli litakuwepo kwenye somo la historia na hapo ndio tutajua yule ni nabii
 
Watanzania bwana

Kila kinachoandikwa kiingereza mnachukulia Kama source ya kuaminika

Hyo article n Kama kijarida Cha gazet la uhuru tu wataandika kile chenye maslahi kwao

Tanua ubongo ndugu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Natamani sana kama tungekuwa na fukunyuzi wa mambo kwa undani maana tunaketewa vitu na kufanyiwa vitu vya ukanjanja na tunakubali kwa sababu hatujuhi kureason
Ila kutake action ni jambo jingine kwa nchi kama yetu
 
Wabongo bhana... yaani mnaokoteza tu tweets from Anonymous Members na hiyo kwenu ndo inakuwa stori?!

Tatizo lenu mnadhani kila kinachokuwa posted online basi ni taarifa sahihi bila kujishughulisha kujua credibility ya source mnazotumia!!

Matokeo yake, source uliyoweka, ya mtu anayejiita Spartacus, anataka kuwaaminisha watu aina yako kwamba Trump alikuwa anazungumzia mRNA ya Bill Gate, chanjo ya COVID-19!

Lau kama ungetumia hata dakika 2 kutafuta original source ambayo ni MNBC, ungekuta screenshot aliyoambatanisha Spartacus, original clip ni hapa chini:-

Hapo utaona the original video ilikuwa uploaded YouTube on May 18, 2018 hata kabla ya hayo mambo ya COVID-19! Na ukisikiliza, utaona Bill Gate aliongea ama December 2016 or early 2017.

Basically, Bill Gate alikuwa anaongea na Wafanyakazi wa Bill & Melinda Gates Foundation, na mmoja wao alitaka kujua alimfahamu vipi Donald Trump kwa sababu, by the time, Trump ilikuwa ndo kwanza kachaguliwa kuwa rais!!

Gate alipokutana na Trump kwa mara ya kwanza mara ya kwanza ndani ya Trump Tower na mara ya pili alimtembelea White House. Mara zote hizo Trump alitaka kufahamu ikiwa chanjo ina madhara, na chanjo waliyokuwa wanaizungumzia hapo ni HIV Vaccines, na kwa maneno yake, Gate anasema---

Btw, hivi ulijaribu kutafuta na taarifa za Dr. Peter McCullough ambae clip yake imepachikwa baada ya maelezo ya Gate?!

Watanzania tunaumia sana na kupotoka
 
Wewe mwenyewe umeokoteza MSNBC,au unadhani kila kinachowekwa msnbc ni hakika,vyombo vya propaganda hivo ndio maana trump hakupatana navyo kbs kwenye uongozi wake.

Akina billgates wanavilipa hivo vyombo haviwezi sema ukweli.billgate sio mtu mzuri kbs kama mnavyoaminishwa na vimisaada vyake kwenu
 
Umesoma na kuelewa?!

Mosi, nimesema hiyo haikuwa interview kati ya Gate na MNBC bali Gate alikuwa anaongea na Wafanyakazi wake, ndipo MNBC wakaipata hiyo clip!!

Pili, nimekuambia alichokuwa anaongea Gate hakihusiani na COVID-19 kama mnavyojaribu kuaminishana kwa sababu Gate aliongea hayo back in 2016 or early 2017... Je, habari za COVID-19 zilikuwapo wakati huo?!

Btw, unaweza kuniambia huyo Gate sio mtu mzuri kivipi?!
 
😇😇😇 Hueleweki
 
Sieleweki au HUNA HOJA kwa sababu ulikurupuka!!
Huelewi unachoandika,Anzisha uzi wako upinge,acha kukurupukia uzi za watu eti MSNBC 🤣,kutaja Msnbc ndio unajiona unajua.
Mtapigwa chanjo mpk akili ziwakae Sawa.

Shukuruni Issue ya Ukraine,ungekuta mnaambiwa kuna wave 7,mnatakiwa mpigwe booster nyingine.

Hio corona yenu kwetu ilishafeli nenda kawaambie watafute nyingine
Siku nyingine uwaambie wakizindua kitu wasianzie kwao maana watakufa kama kuku.
 
Huelewi unachoandika,Anzisha uzi wako upinge,acha kukurupukia uzi za watu eti MSNBC 🤣,kutaja Msnbc ndio unajiona unajua.
Mtapigwa chanzo mpk akili ziwakae Sawa.

Shukuruni Issue ya Ukraine,ungekuta mnaambiwa kuna wave 7,mnatakiwa mpigwe booster nyingine.

Hio corona yenu kwetu ilishafeli nenda kawaambie watafute nyingine
Siku nyingine uwaambie wakizindua kitu wasianzie kwao maana watakufa kama kuku.
JIBU NILICHOKUULIZA, kama huna jibu, PIGA KIMYA!!
 
Acha uzuzu wako wewe huelewi unachoandika.
Anzisha uzi wako uwatetee wazungu wako,unadhani kila kitu cha ngozi nyeupe ni sahihi.
Kijana unateswa bado na neocolonialism,fungua akili hio.

Afrika ya sasa imejanjaruka mmebaki nyie wachache mnaotukwamisha tusijitegemee.
 
Usingekuwa zuzu usingeshindwa kujibu maswali rahisi kama hayo!! Je, 2017 kulikuwa na COVID-19?!

Unaweza kueleza huo ubaya wa Gate?

Jibu hayo maswali na kama huna jibu, then shut the fvck up!!
 
Stupidy ,akili yako haina akili.

Yaani mtu anawaambia kutakuja kua na kirusi duniani na nyie mlivyo makenge hamhoji mnadhani kirusi kinajileta chenyewe.
 
Back
Top Bottom