Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

Chifu,

Hivi hizi consipiracy za mara chanjo ile inaleta ugumba, mara chanjo ile inaumiza nguvu za kiume... consipiracies za namna hii zimeanza lini?!

Na mara nyingi Consipiracy Theorists wamekuwa wakisema target ni Africa... now tell me: tangu hizi consipiracy zianze miaka nenda rudi, hivi ni kweli Afrika ndo bara ambalo population yake inapungua?!

Majority of Tanzanians tumedungwa michanjo mara ya ndui, mara ya surua, mara sijui ya nini... je, huko kuzaana Tanzania kumeshuka?!

Ukweli ni kwamba, hivi sasa kwa Tanzania kuna minimal birth rate lakini sio kwa sababu ya chanjo bali watu wenyewe, hususani mijini hawataki mambo ya kuzaa ovyo ovyo!! The same applies to other nations ukitoa nchi kama China zenye sheria za watu kutozaa ovyo ovyo!!!

Na hizi sex toys zilizojaa kila mahali, huku technolojia ikituletea very sexy sex toys, ndo kabisa... no one will have to give you dangerous vaccines eti ili usizae wakati mazingira tu yanaku-encourage usizae!!

Unmarried couple zikipigana mimba kitakachofuata ni mvutano wa "toa mimba, sitaki... usitoe; natoa"!!Sasa hapo birth rate ikishuka ndo msingizie chanjo wakati ni watu wenyewe hawataki kuzaa?!
Nakuona roboti la chanjo uko bize kutema pumba.
 
Me kitendo cha kufuta au kufungiwa account kwa wale wanaopost yaliyowatokea kuhusu chanjo ndio niliona za kijau jamaa yupo live kesho ukichek account huipat tena,,walikua wanaficha nini sasa,,,tunajua kila meds inaside effects zake kwanini kwenye covid wawabanie watu
Manyumbu akina Huihui2 hayawezi kuelewa hii
 
Unakataa chanjo toka kwa reknowned world class manufacturer la Johnson & Johnson au Pfizer

Matako wewe, hizo chanjo alitengeneza baba ako?

Hizo Pfizer zimeripotiwa kuuwa watu kwa paralysis na uharibufu wa mifumo ya neva!

Waambie baba zako waliokutuma HATUDANGANYIKI.
 
NONSENSE....

But why should I be surprised when your ID says it all!!

Wacha tu NIKUPUUZE!!
We ni matako tu huna lolote na machanjo yako.

Maroboti kama wewe mko wengi sana na hamjitambui mnameza meza machanjo tu na kubugia sumu bila kuuliza.

Hizi sio zama zake. Na uache kujitia mjuzi.
 
We ni matako tu huna lolote na machanjo yako.

Maroboti kama wewe mko wengi sana na hamjitambui mnameza meza machanjo tu na kubugia sumu bila kuuliza.

Hizi sio zama zake. Na uache kujitia mjuzi.
Acha matusi dadangu, fustration anazokuletea mumeo tafuta kwa kuzipeleka, kima wewe!!
 
Mkuu hata raia wa nje kuna wenye akili kama zako
Hakuna, Ulaya hakuna vyeti feki kama ulivyo kuwa navyo wewe kule ulaya kusoma hakuna short kati ndiyo Maana hukuti wanatumbuliwa kwa vyeti feki kama wewe ulivyo tumbuliwa, Na uta msaau Magufuli maisha yako yote wewe na Familia yako kwa kitendo cha kutumbuliwa kwa vyeti feki.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Una elimu gani chakubanga wewe? immunology ya matako?

Hayo mavitini ya biology nayo ni elimu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Elimu wanayo hao wanaokulisha machanjo yenye sumu huku unakenua tu.
Kama hukusoma walaumu wazazi wako wala usitupigie kelele hapa JF. Na nyinyi wajinga msio na elimu ndiyo Magufuli alikuwa anawaita WANYONGE, nanyi mnakubali kuitwa WANYONGE.

Kweli mtaji wa DIKTETA wa Chato ilikuwa ni makundi makubwa ya wapumbavu
 
Matako wewe, hizo chanjo alitengeneza baba ako?

Hizo Pfizer zimeripotiwa kuuwa watu kwa paralysis na uharibufu wa mifumo ya neva!

Waambie baba zako waliokutuma HATUDANGANYIKI.
Weka huo utafiti hapa, acha kuokota taarifa moja ya mtu mwenye matatizo ndiyo uka generalize.

Halafu nenda Mirembe ukapimwe akili maana kila ukiandika sentensi unataja matako. Yawezekana una athari za kuchezewa matako na mabasha
 
Mimi sijachoma chanjo ya corona lakini bado niko hai.
Kwani ulisikia usipochoma utakufa? Wako wengi hawakuchoma. Pia wako wengi ambao wako hai kwa sababu walichoma. Unafikiria maisha yamerudi kama zamani Ulaya America na Asia kwa sababu gani? Ni chanjo inasaidia. Kuna wapumbavu wanaona wajapani, wachina, wahindi, wakorea, waingereza, wajerumani, waarabu, wamarekani n.k na utaalam wao wote ni wajinga ila Magufuli ndiyo mwenye akili. Kiwango cha juu cha upumbavu hiki.
 
Back
Top Bottom