Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
DuhPitso Mosimane ali-sign mkataba na Al Ahly SC mwaka 2020 ambao alikuwa analipwa monthly salary - US$120,000 (US$2.9 million for two years). Bonus ya kushinda ligi kuu ya misri au ligi ya mabingwa (CAFCL) - US$480,000.
Pitso pia alikuwa na kipengele endapo Al Ahly SC wangevunja mkabata wake walipaswa kumlipa mshahara wa miezi 4 yaani - US$720,000. Pitso ana technical staffs wake 4 ambao ni non-negotiable with 10% increments every year.
Je, Simba SC inaweza kumudu gharama ya US$160,000 kwa mwezi kumlipa Pitso pamoja na wasaidizi wake 4? Technical team yake huwa wanalipwaga zaidi ya US$10,000/monthly kila mmoja. Kaizer Chiefs walimshindwa kabla ya kwenda Al Ahli.
Jamaa anajua kukibrand