kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Mijangili itakufa yenyewe.Kuna dalili kubwa soon misiba ya wazee itakuwa mingi. Mijangili ikiona inaandamwa sana juu ya ubadhirifu wao hukimbilia kuua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijangili itakufa yenyewe.Kuna dalili kubwa soon misiba ya wazee itakuwa mingi. Mijangili ikiona inaandamwa sana juu ya ubadhirifu wao hukimbilia kuua.
Yeah, point iko hapo, "mtu mwenye AKILI timamu"Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.😂😂😂
Magufuli ameshakufa na hii mlisema ni awamu nyingine na nchi imefunguliwa.Takataka alizoiacha magufuli haitaielewa hi
nashukuru gentleman,Gentleman 😉 SEMA neno gentleman unalipi lakutueleza.
Nakusalimia pia.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha na ndiyo yanayoshangilia huu upuuzi.Yeah, point iko hapo, "mtu mwenye AKILI timamu"
Kwanini wanashindwa kutamka wazi kuwa Magufuli na Samia ni viongozi wabovu Sani nchi hizi na hawa kustahili kupewa nafasi ya urais.Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.
Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Magufuli ndio muasisi wa hizi siasa chsfu za kutaka ccm ishinde kwa kishindo kitu kisichoendana na ukweli. Wamaccm wanaojitambua wanajua ukweli kuwa ccm iko madarkani kwa shuruti na sio kwa ridhaa ya walio wengi.Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.
Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Kumekucha ???!! Au ??!!Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.
Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Yeye ndiye muasisi wa upuuzi huu, samia naye amejiunga uovu huu. Najua Mungu atafanya yake soonRIP Magufuli ila umetuachia matatizo makubwa
Duh 🙄 !Kuna dalili kubwa soon misiba ya wazee itakuwa mingi. Mijangili ikiona inaandamwa sana juu ya ubadhirifu wao hukimbilia kuua.
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM
Ngoja Tusubiri tuone. !Suauti kuelekea 2025