LGE2024 Pius Msekwa aeleza kutofurahia ushindi wa 99% wa CCM, asema anafurahia tu pale uchaguzi unapomalizika na pande zote zinaridhika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Utasikia wale vibwengo na chawa ambao hata hawaijui Historia ya CCM wakianza kumtukana huyu Mzee kwa sababu kasema ukweli. Ni taahira tu anayeweza kuufurahia huu upuuzi unaoitwa ushindi wa kishindo. Mtu unapiga punyeto halafu unajisifia umegonga demu mkali.
 
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.

Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Kwanini wanashindwa kutamka wazi kuwa Magufuli na Samia ni viongozi wabovu Sani nchi hizi na hawa kustahili kupewa nafasi ya urais.
 
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.

Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Magufuli ndio muasisi wa hizi siasa chsfu za kutaka ccm ishinde kwa kishindo kitu kisichoendana na ukweli. Wamaccm wanaojitambua wanajua ukweli kuwa ccm iko madarkani kwa shuruti na sio kwa ridhaa ya walio wengi.
 
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.

Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Kumekucha ???!! Au ??!!
 
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM

Haya sasa babu yenu katibu mkuu wa kwanza wa chama dola TANU / CCM amesema, anaona kinachotokea Msumbiji kinaweza kutokea Tanzania kufuatia uchafuzi wa uchaguzi 2024 TAMISEMI Tanzania na uchafuzi wa uchaguzi mkuu Mozambique 2024:

Back
Top Bottom