Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unakiri kuwa ulikuwa UFISADI kwa kutumia katiba?Hapana si sawa !
Lakini Katiba hii haikuvunjwa !
Na ndivyo inavyoendelea hata sasa !
Kama mambo yanaenda kwa mujibu wa Katiba yetu je shida iko wapi ???!
Mwasisi wa ujinga wote huu ni Magufuri itatuchukua muda nchi kukaa sawa labda waliok huko juu waanze kufarakana na kuuana.Magufuli ameshakufa na hii mlisema ni awamu nyingine na nchi imefunguliwa.
Ni kweli kabisa hawataona hili. Lakini mtu MWENYE AKILI TIMAMU ataliona hili mzee Msekwa aliloliona.Takataka alizoiacha magufuli haitaielewa hi
Uko sahihiKwanini wanashindwa kutamka wazi kuwa Magufuli na Samia ni viongozi wabovu Sani nchi hizi na hawa kustahili kupewa nafasi ya urais.
Hakika.Magufuli ndio muasisi wa hizi siasa chsfu za kutaka ccm ishinde kwa kishindo kitu kisichoendana na ukweli. Wamaccm wanaojitambua wanajua ukweli kuwa ccm iko madarkani kwa shuruti na sio kwa ridhaa ya walio wengi.
Naunga mkono hoja. Bora ushinde kihalali asilimia 51 kuliko kufanya ujambazi wa kura.Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.
Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
---------
View attachment 3170482
Lakini ukiua kwa upanga na wewe ............Kuna dalili kubwa soon misiba ya wazee itakuwa mingi. Mijangili ikiona inaandamwa sana juu ya ubadhirifu wao hukimbilia kuua.
hawatomteka, mtasikia shinikizo la moyo tu.Yuko tayari kutekwa?
Aiseeeeehawatomteka, mtasikia shinikizo la moyo tu.
Katiba haina tatizo,tatizo lipo kwenye Tume ya Uchaguzi,Rais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu,Spika na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Kwani Msekwa anasema hii Katiba iliyopo imevunjwa wapi !
Kwani Katiba inasemaje kuhusu mambo ya Uchaguzi ??!!
Mimi naamini Mzee Msekwa anaijua vizuri hii Katiba na anajua kila kitu kilikwenda kwa mujibu wa Katiba !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!!
😳🙄😳 !
Huwezi kuwapumbaza watu wote muda wote, Vile vile ujinga ni kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile halafu ukitegemea matokeo chanya ama kulazimisha watu wafikiri unavyotaka wewe hata kama una uwezo mdogo wa kufikiriNaunga mkono hoja. Bora ushinde kihalali asilimia 51 kuliko kufanya ujambazi wa kura.
Sauti ya kikundi Cha wahalifu dhidi ya demokrasia na Haki za binadamu Ndio unaita sauti ya umma?Anapinga sauti ya umma, kwa hiyo kura za ndio zingehesabiwa hapana
Safi sana mzee Msekwa! Wazee hawapaswi kukaa kimya huku mambo yakienda kombo!Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.
Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
---------
View attachment 3170482