Huyu babu anajitahidi sn kidogo"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa
ITV Dakika45.
View attachment 1995270
Hawa wazee wanafiki snRubbish, mazee yamekaa kimya UOVU unatendeka na chama chake hata kukemea hayawezi ili kulinda maslahi ya wao na watoto wao! Kalale huko mele
Kama ni kweli amenukuliwa akisema, basi atakuwa atakuwa amefanya jambo la maana sana. Kama Taifa ni lazima twende na matakwa ya wakati, na wala si yale yatokanayo na maslahi ya watawala huku yakilindwa kimkakati na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama."Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa
ITV Dakika45.
View attachment 1995270
Nina hakika mpaka saa 5 asubuhi hii atakanusha nawajua ufipa kwa kulisha watu maneno!
Kwani wewe hutaki katiba iliyo fair kwa wote ?!.Nina hakika mpaka saa 5 asubuhi hii atakanusha nawajua ufipa kwa kulisha watu maneno!
JF Kuna takataka nyingi, rubbish nyingine usijibu. Actually mimi any one showing dalili za utakataka, na block!Punguzo utoto dogo, alishwe maneno na nani wakati kaongea mwenyewe kipindi cha dakika 45 cha ITV? Au umeshapata cha asubuhi nini?
leo kapata ujasiri??🤣🤣"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa
ITV Dakika45.
View attachment 1995270
kwa mafisadi na majizi ccm huko katiba mpya wanaona kama kitanziKwani wewe hutaki katiba iliyo fair kwa wote ?!.
Hata asipoweka wazi bado ni ukweli mtupu?.Hayo maneno yanaimpact kubwa katika ulimwengu wa kisiasa especially kusemwa na speaker staafu.
Issue hapa ni kweli mzee huyu ameliona hilo na kuliweka wazi?
Ukweli una tabia moja " haujali mtu atajisikiaje"Ukweli Mchungu Ila Ndiyo Dawa Ni Vyema Tukaupokea
Yes mkuu, ni ukweli mtupu na kila mwenye sound mind lazima ayakubali aliyoyasema huyu mzee.Hata asipoweka wazi bado ni ukweli mtupu?.
Mmoja ya watu wachache walio hai ambao waliandika katiba hii ya zambarau tunayoitumia sasa. Nadhani mwingine ni Andrew John Chenge"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa
ITV Dakika45.
View attachment 1995270