Pius Msekwa: Katiba lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo

Pius Msekwa: Katiba lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika. Lazima katiba nayo ibadilike. Katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo, kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa

ITV Dakika45.

18C987D4-D657-4346-B971-A5A6DA16E983.jpeg
 
Nina hakika mpaka saa 5 asubuhi hii atakanusha nawajua ufipa kwa kulisha watu maneno!
 
"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa

ITV Dakika45.

View attachment 1995270
Huyu babu anajitahidi sn kidogo
 
"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa

ITV Dakika45.

View attachment 1995270
Kama ni kweli amenukuliwa akisema, basi atakuwa atakuwa amefanya jambo la maana sana. Kama Taifa ni lazima twende na matakwa ya wakati, na wala si yale yatokanayo na maslahi ya watawala huku yakilindwa kimkakati na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
 
Hayo maneno yanaimpact kubwa katika ulimwengu wa kisiasa especially kusemwa na speaker staafu.
Issue hapa ni kweli mzee huyu ameliona hilo na kuliweka wazi?
 
Punguzo utoto dogo, alishwe maneno na nani wakati kaongea mwenyewe kipindi cha dakika 45 cha ITV? Au umeshapata cha asubuhi nini?
JF Kuna takataka nyingi, rubbish nyingine usijibu. Actually mimi any one showing dalili za utakataka, na block!
 
"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa

ITV Dakika45.

View attachment 1995270
leo kapata ujasiri??🤣🤣
 
Hayo maneno yanaimpact kubwa katika ulimwengu wa kisiasa especially kusemwa na speaker staafu.
Issue hapa ni kweli mzee huyu ameliona hilo na kuliweka wazi?
Hata asipoweka wazi bado ni ukweli mtupu?.
 
Hawa wazee wakitoka nje ya system ndo wanaona haya magape...ila wakiwa wanaitafuna keki ya taifa hua hawakumbuki kabisa.
 
Msekwa alishindwa vipi kumshauri Nyerere kuboresha katiba pindi anamaliza muda wake ili kuendana na mazingira yajayo na kuthibiti watawala ambao wanaweza kugeuka miungu watu kwa kutumia mapungufu yaliyomo kwenye katiba, ili hali Nyerere alishatambua kabla kwamba katiba hiyo ilimpa mamlaka makubwa kupitiliza......hana jipya tena bora akae kimya tu.
 
"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika.lazima katiba nayo ibadilike.katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo,kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa

ITV Dakika45.

View attachment 1995270
Mmoja ya watu wachache walio hai ambao waliandika katiba hii ya zambarau tunayoitumia sasa. Nadhani mwingine ni Andrew John Chenge
 
Back
Top Bottom