Ni kweli#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================
Hata mimi najua na nakubaliana na maamuzi. Najua kabisa sasa hivi kwa sababu kina Magufuli and co wako kwenye madaraka na nchi yenyewe ni Tanzania inayokaliwa na watanzania wapole kupita kiasi, wana uwezo wa kufanya chochote. Lakini hii itakuwa historia yenye mafunzo mazuri sana kwa vizazi vijavyo kuona jinsi utawala ulivyokuwa mbovu. Hili nalo linazidi kuwaamsha watu na hata wana CCM wengi wanazidi kuchoka uhuni unaofanywa.Lengo la kufukuzwa ni kuwa wasiende kwa tiketi ya Chadema basi, hata wakipelekwa kwa tiketi ya mahakama sidhani kama Chadema itawasumbua.
Wewe ni mchagga? ni kuvunjaKwenda kinyume cha hapo ni kufunja katiba.
Kwa kiongozi wetu huyu wala si ajabu, atafunja tu.
It means yalikuwa yametumwa ila bado hayakuwa yamepokelewa. Sheria ulisomea chuo gani???Tukisemaga CCM na NECCM hawana akili huwa tunamaanishaView attachment 1636584
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Hili halina shaka. Lakini uhuni unaofanywa utabaki kwenye historia na utazidi kuwafunua watanzania, hasa wana CCM umuhimu wa kuchuja viongozi wa ngazi za juu kwa umakini. Juzi ´nilikuwa nazungumza na kiongozi mmoja aliyewahi kuwa kigogo nadani ya serikali na CCM na alikuwa na majuto kweli kweli hapa tulipofikia.Unaboa na visredi mbuzi. Subiri maana yajayo yanafurahisha. Hao ni wabunge hadi 2025. Anayeweza kuwaondolea ubunge ni Mwenyezi Mungu tu.
Dah
Kweli sometimes saa mbovu inasema kweli.
Ngoja tuone chawa nje ya ccm watasemaje.
Barua zilifikishwa tarehe tajwa lakini hazikuwa HAZIKUWA ZIMEPOKELEWA20/11/2020 hiyohiyo NEC inasema ndio ilipokea barua toka CHEDEMA,,Inachekesha
Nani anamuonea nani wivu—-wewe lazima utakuwa mzanzibari.Wamesahau hao wale Ni wabunge ukweli wote utajulikana kadiri sinavyosogea Kama Chadema ilifanya hivyo kuwakomoa imejikomoa yenyewe.Kwisha habari yao , Chadema wivu unawasumbua
Huyo la professori ubongo wake ulishatolewa wote amebaki na kamasi tuKichekesho cha asubuhi,
Akihojiwa na Azam FM Radio, Propesa Kitila Mkumbo amedai kuwa hata baada ya kuvuliwa uanachama, akina Halima watakuwa wabunge wa Jamhuri. Lakini huyohuyo pia kawataka kwenda mahakamani kudai uanachama wao.
NEC wamesema barua ya CHEDEMA imeandikwa 19/11/2020 na wao wakathibitisha kupokea 20/11/2020.Barua zilifikishwa tarehe tajwa lakini hazikuwa HAZIKUWA ZIMEPOKE
Barua zilifikishwa tarehe tajwa lakini hazikuwa HAZIKUWA ZIMEPOKELEWA
Yule Kitila Mkumbo taaluma yake imeingia nzi, ukishakuwa ccm ata uwe na elimu gani ukweli kwako inakuwa ni mwikoKichekesho cha asubuhi,
Akihojiwa na Azam FM Radio, Propesa Kitila Mkumbo amedai kuwa hata baada ya kuvuliwa uanachama, akina Halima watakuwa wabunge wa Jamhuri. Lakini huyohuyo pia kawataka kwenda mahakamani kudai uanachama wao.
Huyu mzee naona fahamu zimeanza kumrudia sasa maana naye huwaga kwa kutoa utumbo hajambo!!Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.