Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Msekwa huwa lazima aje na kauli mbili juu ya tukio moja.Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo π π π π
Uzuri ni kwamba katiba hii ya sasa tunayoitumia ya mwaka 1977 ni Pius Msekwa ndio alikuwa mwenyekiti wa kuandika katiba hii.Kwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Job Ndugai atawalinda.Huo ndio ukweli mchungu. Wakatafute chama cha kuchezea siyo chadema.
Na wasijitowe akili, hii katiba imeandikwa na Msekwa mwenyewe, anaijuwa vizuri kinyumenyume.Wazee na nyie semeni labda akili za hawa watu zitazibuka. huko nje wanajiuliza ile nchi haina wazee wenye akili?
Akalale nao kongwa kabisa.
Mkuu kuna mtu mwingine anaitumia ndiyo maana nikaibadilishaMkuu Rudisha avatar picha yako tuliyokuzoea yule niga ana upara unaong'aa na sura ngumu
Wewe ni nani wa kubishana na Msekwa aliyeiandika katiba hii ya mwaka 1977?Bado ni wabunge kwani wanaafasi ya kukata rufaa na kwenda mahakamani kukata rufaa
Katiba inapindishwa agaaain na wanarudi bungeniTime will tell.Tuone hili sakata litaisha vipi. Iam sick and tired of being sick and tired. Kwa mujibu wa katiba Yes. Ila.........let us give time to time. Yajayo.......
Ataambiwa anawashwa washwaSpika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
Wewe na Msekwa aliyeiandika katiba hii ni nani anaijuwa katiba?Kumfuta Uanachama Mtu ni mchakato wa Kisheria & Kikanuni pia
Mchakato huo ili ukamilike haushii kwenye Kamati Kuu ya Chama husika pekee bali unaenda hadi ngazi ya Mahakama ya Rufaa!
Hivyo Mdee na wenzake 18 bado ni kiuhalisia Wabunge hadi itakapoamuliwa vinginevyo
na mamlaka husika kupitia mchakato huo!
Mzee wetu amekuwa na haraka mno kutoa hitimisho kana kwamba mchakato huo wote umekamilika.
Kwa sasa sheria na katiba ni mkuu mwenyewe.Kwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Uchafuzi serikali mitaa 2019; 2020 Wizi wa kutumia nguvu ya dola; Hata hicho kidogo viti maalumu wamebaka !?Serekali awamu ya Tano inawadharau Sana wanainchi wake,
Time will tell.Tuone hili sakata litaisha vipi. Iam sick and tired of being sick and tired. Kwa mujibu wa katiba Yes. Ila.........let us give time to time. Yajayo.......
Yaani inaona wananchi ni malofa, wapuuzi, mapoyoyo, matopolo, manyani, hawana akili, hawawezi kung'amua mambo, hawatumii akili, wajinga jinga, sijapata bado neno sahihi, kwa huu upuuzi tunaoonyeshwa.Serekali awamu ya Tano inawadharau Sana wanainchi wake,
Chadema hawaitaji hivyo viti, uchaguzi mzima ni batili, muwe mnatumia akili japo kidogo.kesho kutwa chadema ipeleke majina stahiki wakaapishwe bungeni, hawa wasaliti warudi nyumbani wakalee familia