Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
Msekwa huwa lazima aje na kauli mbili juu ya tukio moja.
Ya kwanza huwa ni ile anayoitoa kwa akili zake timamu akiongozwa na logics.
Nyingine hufuata baadaye baada joto kupanda ndani ya Chama. Hivyo hulazimika kuongea kama Mwana CCzm
 
Kwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Uzuri ni kwamba katiba hii ya sasa tunayoitumia ya mwaka 1977 ni Pius Msekwa ndio alikuwa mwenyekiti wa kuandika katiba hii.

Ukipenda unaweza kuiita katiba ya Msekwa, humdanganyi lolote kuhusu katiba hii ambayo ameiandika mwenyewe.
 
Kwa Ccm Hoyee
Hao Bado Ni Wabunge Tena Ikipendeza Kesho Jumapili
High Court Wanaweza Kuipokea Kesi Yao Haraka
Mzee Msekwa Anayazungumza Haya Akiwa Wapi?
Ndani Ya Ccm Ama Vp?πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜‘πŸ˜‘πŸ€¨πŸ€¨πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜πŸ˜
 
Kumfuta Uanachama Mtu ni mchakato wa Kisheria & Kikanuni pia

Mchakato huo ili ukamilike haushii kwenye Kamati Kuu ya Chama husika pekee bali unaenda hadi ngazi ya Mahakama ya Rufaa!

Hivyo Mdee na wenzake 18 bado ni kiuhalisia Wabunge hadi itakapoamuliwa vinginevyo
na mamlaka husika kupitia mchakato huo!

Mzee wetu amekuwa na haraka mno kutoa hitimisho kana kwamba mchakato ulipoishia Ilikuwa Halali Kisheria na kuwa suala hilo limehitimishwa!

Katiba ipo mahsusi kulinda haki za wote na sio maamuzi ya Uongozi Wa Chama pekeyake!

Tusubiri mchakato ukamilike Kabla ya kutoa hitimisho
 
Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge

Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.

====

Mambo yameanza kuwa sio mambo.
Ataambiwa anawashwa washwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mstaafu anawashwawashwa!
Jobless ******...alishasema atawapambania kufa kupona!

Yetu macho sisi ndugu watazamaji!

Everyday is Saturday................................😎
 
Kumfuta Uanachama Mtu ni mchakato wa Kisheria & Kikanuni pia

Mchakato huo ili ukamilike haushii kwenye Kamati Kuu ya Chama husika pekee bali unaenda hadi ngazi ya Mahakama ya Rufaa!

Hivyo Mdee na wenzake 18 bado ni kiuhalisia Wabunge hadi itakapoamuliwa vinginevyo
na mamlaka husika kupitia mchakato huo!

Mzee wetu amekuwa na haraka mno kutoa hitimisho kana kwamba mchakato huo wote umekamilika.
Wewe na Msekwa aliyeiandika katiba hii ni nani anaijuwa katiba?

Katiba ni sheria mama.
 
Kwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Kwa sasa sheria na katiba ni mkuu mwenyewe.
 
Time will tell.Tuone hili sakata litaisha vipi. Iam sick and tired of being sick and tired. Kwa mujibu wa katiba Yes. Ila.........let us give time to time. Yajayo.......

Ukweli mchungu, jiwe anatuharibia nchi. Bila kumpa makavu haitusaidii.

Wote kina Manoti kina supika na wengine ni 'mbangusilo' tu. In Msabaha's words.
 
Serekali awamu ya Tano inawadharau Sana wanainchi wake,
Yaani inaona wananchi ni malofa, wapuuzi, mapoyoyo, matopolo, manyani, hawana akili, hawawezi kung'amua mambo, hawatumii akili, wajinga jinga, sijapata bado neno sahihi, kwa huu upuuzi tunaoonyeshwa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom