Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Ila huyu anastahili kuitwa MWAMBA
FB_IMG_1606310804488.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================


Vibwengu wa Lumumba huwaoni hapa
 
Kwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Hata katiba inasema hivi

Oath of
Members of
Parliament
Act No.15
of 1984,
Art.13
68. Every Member of Parliament shall be required to take and subscribe
before the National Assembly the oath of allegiance before commencing to take
part in the business of the National Assembly save that he may take part in the
election of Speaker before taking that oath.

Je wakati wanaapishwa ndicho kilichofanyika? 😅 😅 😅 Katiba bila vyombo vyenye nguvu kuisimamia ni maandishi tu
 
Back
Top Bottom