PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wabunge wa NEC na Ndugai!
Dah, nimelikumbuka lile vagi.Umesahau mara hii wakati Zitto akiwa mbunge wa mahakama?
imeisha hiyo.Time will tell.Tuone hili sakata litaisha vipi. Iam sick and tired of being sick and tired. Kwa mujibu wa katiba Yes. Ila.........let us give time to time. Yajayo.......
Sasa kama bado ni wabunge hiyo rufaa wanakata ili wawe nani spika?Bado ni wabunge kwani wanaafasi ya kukata rufaa na kwenda mahakamani kukata rufaa
Wanaenda mahakamani kupinga kuonewaHuo ndio ukweli mchungu. Wakatafute chama cha kuchezea siyo chadema.
Tukisemaga CCM na NECCM hawana akili huwa tunamaanishaView attachment 1636584
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================
Waende ni haki yao kukata rufaaBado ni wabunge kwani wanaafasi ya kukata rufaa na kwenda mahakamani kukata rufaa
Wewe ni kinda!Lini Zitto alikuwa Mbunge wa Mahakama?
Hata katiba inasema hiviKwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Kima yuleKichekesho cha asubuhi,
Akihojiwa na Azam FM Radio, Propesa Kitila Mkumbo amedai kuwa hata baada ya kuvuliwa uanachama, akina Halima watakuwa wabunge wa Jamhuri. Lakini huyohuyo pia kawataka kwenda mahakamani kudai uanachama wao.
20/11/2020 hiyohiyo NEC inasema ndio ilipokea barua toka CHEDEMA,,InachekeshaTukisemaga CCM na NECCM hawana akili huwa tunamaanishaView attachment 1636584
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama ni kuonewa waende kwenye dawati la jinsia.
Wabunge wa Chadema kupitia viti maalumu.
Wanaruhusiwa kwenda popote kudai haki yao.