Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
ndoivo kiongoziDuh!
Kwani kafufuka?Nimeikuta huko YT
Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani
Maswali ni mengi
Anadai "we have capacity you don't know"
Nani anafokewa hapa?
View: https://youtu.be/kVNhySLWZqg?si=7eH09SQ-1rsztQBp
Mtapigwa shauriyenu wanajeshi wenu walienda kule wakaanza kumanuliwa manuliwa mpaka mkaanza kuona aibu M23 ndio maana ya Capacity toka ndani ya box huko umejifungia fungia ndani ya hako kabox kako toka huko ubongo uongeze maaarifaHuyu naye mikwara mingi.
😂😂😂😂Mtapigwa shauriyenu wanajeshi wenu walienda kule wakaanza kumanuliwa manuliwa mpaka mkaanza kuona aibu M23 ndio maana ya Capacity toka ndani ya box huko umejifungia fungia ndani ya hako kabox kako toka huko ubongo uongeze maaarifa
Alikufa lini na alizikwa lini? Acheni kuuliza maswali ya kijingaKafufuka kwani?
Moto upi wa kuni au wa Gesi?Huyu si walisema kakata moto?
Nimeikuta huko YT
Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani
Maswali ni mengi
Anadai "we have capacity you don't know"
Nani anafokewa hapa?
View: https://youtu.be/kVNhySLWZqg?si=7eH09SQ-1rsztQBp
Ndio kawachana kwamba Capacity ya M23 wasiichukulie poa wataaibishwa mchana kweupeHuyu ni mzalendo namba moja Afrika Mashariki.
Wavamizi wa kigeni wasijaribu kuichonganisha Rwanda na nchi jirani watavuruga kila kitu.
M23 kisiwe kigezo cha Wanajeshi wa Tanzania kuingilia mambo ya Rwanda .
Wanaovuruga amani ya kongo ni Mabeneru wakiwemo Waarabu wa Dubai wanaotumiwa na Marekani kununua bandari za Tanganyika ili wapitishe shehena za silaha kwenda Kongo na kupora rasilmali za Kongo.
Ramaphosa Cryrill au sio au ni Dalai Lama?Dongo kwa broo Rama hilo.
Inabidi kumzoea tu, ukishakaa madarakani mda mrefu lugha huwa inabadilika, lugha iliyojaa kiburi ndio itasikika, na kwa namna anavyozungumza hakuna dalili ya kupumzika na kupisha mwingine.Nimeikuta huko YT