Bro Rama anaambiwa atafuatwa palepale Johan anaporushia vinjiwa vyake.Ramaphosa Cryrill au sio au ni Dalai Lama?
Bro Rama anaambiwa atafuatwa palepale Johan anaporushia vinjiwa vyake.Ramaphosa Cryrill au sio au ni Dalai Lama?
Kwan vijana wa ramq walipewq njia ya kupita kuondoka?Bro Rama anaambiwa atafuatwa palepale Johan anaporushia vinjiwa vyake.
😁😁😁 Tz inatumika kuiumiza congoHuyu ni mzalendo namba moja Afrika Mashariki.
Wavamizi wa kigeni wasijaribu kuichonganisha Rwanda na nchi jirani watavuruga kila kitu.
M23 kisiwe kigezo cha Wanajeshi wa Tanzania kuingilia mambo ya Rwanda .
Wanaovuruga amani ya kongo ni Mabeneru wakiwemo Waarabu wa Dubai wanaotumiwa na Marekani kununua bandari za Tanganyika ili wapitishe shehena za silaha kwenda Kongo na kupora rasilmali za Kongo.
😁😁😁 Tz inatumika kuiumiza congo
Vipi akijilegeza ndio hatopigwa?Huyu Ipo siku Moja watampiga na atajuta kuzaliwa
Kiongozi lazima uwe na mikwara kuwatia motisha wapiganaji wako.Huyu naye mikwara mingi.
Rwanda haina uwezo kupambana na South Africa..Bro Rama anaambiwa atafuatwa palepale Johan anaporushia vinjiwa vyake.
HatariazDuh!
Usidharau udogo wa nchi, hukushuhudia namna Israel imeifanya Iran, au pia Ukraine ilichokifanya kwa UrusiRwanda haina uwezo kupambana na South Africa..
Sijasema kuhusu udogo wa nchi, nazungumzia uwezo wa kiteknolojia wa South Africa, huelewi kwamba South Africa wana viwanda vikubwa vya silaha , wanatengeneza missiles kuanzia air to air, surface to air na surface to surface?Usidharau udogo wa nchi, hukushuhudia namna Israel imeifanya Iran, au pia Ukraine ilichokifanya kwa Urusi
Aisee kiboko ya makobazi hapo nakukatalia Chigali inatembea na biti sana ,baada ya kupiga vitukio vichache vichache vya kipuuzi ndipo wakaanza kutembea na propaganda kukuza uwezo wao na hilo lilifanikiwa,Usidharau udogo wa nchi, hukushuhudia namna Israel imeifanya Iran, au pia Ukraine ilichokifanya kwa Urusi
Kuna mjinga alisema kafa ndie namuuliza,acha hasira za kijinga.Alikufa lini na alizikwa lini? Acheni kuuliza maswali ya kijinga