Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
- Thread starter
-
- #41
wananyooshana na kina nani mkuu?
Nadhani madongo ni kwa wote waliotoa msaada.Kwan vijana wa ramq walipewq njia ya kupita kuondoka?
Huyo skeleton anatuhusu nini, huyo ni km mkuu wa wilaya huku kwetu. Anawatisha raia wake.Nimeikuta huko YT
Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani
Maswali ni mengi
Anadai "we have capacity you don't know"
Nani anafokewa hapa?
View: https://youtu.be/kVNhySLWZqg?si=7eH09SQ-1rsztQBp
Hata tall kalikubali hilo, ila kasema they won't go down without a fight.Rwanda haina uwezo kupambana na South Africa..
Waulize JWTZ kilichowakuta Goma; Jeshi limekuwa nyanya sana, uwezo wao ni kupambana na Chadema na Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima basi.Nimeikuta huko YT
Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani
Maswali ni mengi
Anadai "we have capacity you don't know"
Nani anafokewa hapa?
View: https://youtu.be/kVNhySLWZqg?si=7eH09SQ-1rsztQBp
Recently Kagame's Press conference.Kwani kafufuka?
Mseee wa kibera umerudi kwenye battle si umetukimbia kule ukahamishia ushabiki kwa taifa teule jwtz si wezi wa biskuti kama KDFAmesema Wana uwezo wa kutembelea kilomita 2,000km wakipigana tu, hapo amelenga kusema wanaweza kufika Dar.
Msijaribu kurudi huko, JWTZ,na wanajeshi wote wa SADC mnaambiwa msirudi, aliwaachia mpite kwa amani.
Mz
Mseee wa kibera umerudi kwenye battle si umetukimbia kule ukahamishia ushabiki kwa taifa teule jwtz si wezi wa biskuti kama KDF
Nimeanza kumuelewa huyu bwana. Afrika tuna viongozi wengi viaz*iNimeikuta huko YT
Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani
Maswali ni mengi
Anadai "we have capacity you don't know"
Nani anafokewa hapa?
View: https://youtu.be/kVNhySLWZqg?si=7eH09SQ-1rsztQBp
Kweli wewe kichwa kibovu kwani Israel ni wakristo kitu ambacho hukijui mimi ni mkristo tena mluteri lakini sio brainwashed kama wewe ambaye unaamini ukiwabariki waisrael na wewe utabarikiwa ndo maana wakenya wengi mnafirwa na wazungu kwasababu mnawaona miungu watuKule sijahama, lazima mkumbushwe Israel ndio mbabe wenu makobaz.
Hapa nilikuwa napita tu na kuchomekea ubabe wa kagame hadi anabeza baada kutoa kichapo kwa wanajeshi wa SADC na kuwapa pakutokea.
Nilijua atazungumza mambo ya kipumbavu hasa linapokuja suala LA wewe na wenzako wenye akili fyatu- mnatamani sana Taifa letu likumbwe na vurugu kama nchini mwenu, kwani nani hajui kwamba baadhi yenu ni mabingwa wa fitina na kutoitakia mema Tanzania, kuanzia kutaka bomba LA mafuta kutoka Uganda kutojengwa chini Tanzania mlifanya lobbing ya kufa mtu lakini M7 alitumia busara zake akawatolea nje, hilo tu mliwahi kutushitaki kwamba tusijenge barabara ya lami kupitisha magari kwenye mbuga zetu za Wanyama, kwani Tanzania ni koloni lenu kutupangia tufanye nini tuache nini?Amesema Wana uwezo wa kutembelea kilomita 2,000km wakipigana tu, hapo amelenga kusema wanaweza kufika Dar.
Msijaribu kurudi huko, JWTZ,na wanajeshi wote wa SADC mnaambiwa msirudi, aliwaachia mpite kwa amani.
Huyu jamaa ni mpuuzi tu,eti tulipeleka jeshi letu akawa anawaua,ni lazima tuelewe tulipeleka kikosi kama sehemu ya jumuiya ya afrika mashariki na kwa misheni maalumu sio ya kupigana,kama ni kupigana na jeshi letu huyu jamaa hasimami na sisi hata siku mmoja mnasahau yuke kibaraka wake niyombare alivyopindua nchi,tulitumia saa 5 kumuondoaNimeikuta huko YT