Hivi kwa nini hizi thread zote za Pombe usiunganishe tu? Zikawa kwenye thread moja?
Haya mambo ya kuleta thread 8 zote za Marehemu ni kumpa ghasia tu huko kwenye uongozi wake mpya kwa 'malaika'.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wakati Mwingine Watatenguliwa Kabla Ya Bunge Hilinaam wacha waendelee tu
Magufuli hakuwa anapendwa kama inavyotaka iaminike, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyeweza kumdhuru yoyote aliye kinyume na yeye, na ili uwe salama wakati wa utawala wake, ilikuwa ukae kwa kuhofia, au ujifanye unampenda.Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama...
Labda mzimu wa jiwe ndo uje uwakate. Uzuri ni kwamba wafu hawana ijara, wala hawajui jambo lolote!naam wacha waendelee tu
Ndiyo ukweli wenyewe.Wewe utakuwa Kibajaji mwenyewe