voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Huo ndio UKWELINi muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!