Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Wacha kumtisha njaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshindwa kupambana kwa hoja?Hivi kwa nini hizi thread zote za Pombe usiunganishe tu? Zikawa kwenye thread moja?
Haya mambo ya kuleta thread 8 zote za Marehemu ni kumpa ghasia tu huko kwenye uongozi wake mpya kwa 'malaika'.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
msubiri wa mwikoJoni alitumia mtutu kutawala
Mtu ataye kulaumu ni yule tu ambaye hajasoma jina lako! Lakini wabunge wengi wa ccm wanajua kufika 2025 ukiwa hai tu ni kwa kudra za maulana, asa Wewe unatishia watu nyau, akati lichama lenu sasa hivi halina mwenyekiti, katibu mkuu wala mwenezi!Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
"Malaika"hao Kwiyoo. Anacheza vitasa huko, DADEKI...Hivi kwa nini hizi thread zote za Pombe usiunganishe tu? Zikawa kwenye thread moja?
Haya mambo ya kuleta thread 8 zote za Marehemu ni kumpa ghasia tu huko kwenye uongozi wake mpya kwa 'malaika'.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Waache tu si wameshiba na kuvimbiwa leo, ngoja kesho iwafikie ndo akili zitawarudia wakiwa na njaa!Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Unazo facts ku-support au ni hisia tu na mkumbo? Ndo uhuru wa kuongea mliokuwa mnaupigania?Magufuli hakuwa anapendwa kama inavyotaka iaminike, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyeweza kumdhuru yoyote aliye kinyume na yeye, na ili uwe salama wakati wa utawala wake, ilikuwa ukae kwa kuhofia, au ujifanye unampenda. Na hajawahi kuheshimu vipimo vya kuonyesha kukubalika zaidi ya kufanya mauaji, ukatili na unyama wa wazi kwenye chaguzi, ili kutangazwa mshindi kwa shuruti yeye au chama chake. Kama bado mzimu wake uko huko ccm, basi asiyemsujudia hajachaguliwa, ila kama hofu aliyopandikiza itaondoka, basi ujue yeye ni dhalimu wa Kawaida kabisa.
Yeye mwenyew alikua fisadi kubwa tumtutu kwa mafisadi
Uchambuzi wako ni dhaifu sana! Watapeta huwezi kuamini!Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Itakuwa ni fursa kwa watu makini kuingiamo.Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Huyu jingalao kama siyo msukuma atakua kibajaji!Wapoteze majimbo kwa kipi? Kwani makatibu wa chama wilaya ambao ndio wakurugenzi wa uchaguzi wa ndani ni wateule wa Hayati? Kamati za siasa nazo ni mali za hayati? Kwanza amewasomesha namba tangu awe mwenyekiti hawana hamu nae, Pesa zote za kuendeshea ofisi zimepelekwa kwenye acc ya Makao makuu wakawa wanazichungulia yeye na Bashiru, ofisi za wilaya na mikoa mpaka ziombe pesa walizokusanya wenyewe ndio zirudi kiduchu.
Wakupeta watapeta huko majimboni, wakikatwa na KK zitapigwa kura za hasira majimbo yataenda upinzani, turudi kwenye siasa ya mwanzo kila mtu ashinde kwa nguvu zake, au mna mpango tena wa kutumia dola! Wewe jingalao unawatishia hao wabunge kama nani? Katiba inasema atakayechaguliwa kwa kura nyingi kama mwakilishi wa wananchi ataenda kuwakilisha wananchi (mbunge). This time mbeleko hakuna.
Uaneni ikibidi mmeshachokwa.
Magufuli nibMagufuli na wala Magufuli siyo CCM.Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sema mtawaminya katika mchakato wa CCM lakini watatoka wqtahamia opposition wanatoboa. Hii sio dunia ya kutishana mtaji wa siasa ni watu.Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Unazo facts ku-support au ni hisia tu na mkumbo? Ndo uhuru wa kuongea mliokuwa mnaupigania?
wakatwe wasikatwe hukumu yao ipo kwa wananchi
Acha kuwachimba bit wenzako. Tabia za kibabe kaondoka nazo mwendazake. Jifunzeni kuishi bila yeye. Hiyo ccm ilikuwa mali yake?Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.
Kama mnabisha come 2025
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!