Magufuli hakuwa anapendwa kama inavyotaka iaminike, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyeweza kumdhuru yoyote aliye kinyume na yeye, na ili uwe salama wakati wa utawala wake, ilikuwa ukae kwa kuhofia, au ujifanye unampenda.
Na hajawahi kuheshimu vipimo vya kuonyesha kukubalika zaidi ya kufanya mauaji, ukatili na unyama wa wazi kwenye chaguzi, ili kutangazwa mshindi kwa shuruti yeye au chama chake.
Kama bado mzimu wake uko huko ccm, basi asiyemsujudia hajachaguliwa, ila kama hofu aliyopandikiza itaondoka, basi ujue yeye ni dhalimu wa Kawaida kabisa.