Plain and Clear: Wabunge wa CCM watakaomnanga Magufuli wajiandae kuukosa ubunge 2025

Plain and Clear: Wabunge wa CCM watakaomnanga Magufuli wajiandae kuukosa ubunge 2025

Ni ukweli mtupu.
Mpaka sasa, zaidi ya 90% watu wanamkubali na kumwongelea zaidi JPM kuliko huyu.
Kumkahfu JPM huku ukiwa na nia ya kugombea Ubunge/udiwani ni sawa kabisa na kuvaa kitanzi shingoni na kujinyonga mwenyewe.
Watu wamekwenda mbali zaidi. Wamechonga SANAMU ya JPM na kuweka vyumbani mwao angalau tu kutunza kumbukumbu.
RIP, BABA YETU MPENDWA, JPM.
 
Nina hamu na jimbo la Kawe kuona. Je, baba askofu ataruudii?
 
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.

Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.

Kama mnabisha come 2025.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Chama kimerudi kwa wanafiki tena, Tanzania hatutakuja endelea chini ya CCM.....LAZIMA wananchi tujitahidi kukipiga chini come 2025.
 
SSH ameshaanza kumnanga tayari, sasa ngoja tuone kama atapoteza nafasi yake 2025!
 
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.

Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.

Kama mnabisha come 2025.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Will never happen na wanamnanga vizuri sana.

Kwanza wakienda majimboni wanawaeleza wananchi kwamba hakuna Rais anatekeleza ilani kama Samia ,hayupo na wananchi wanaona.

Cha maana gani alifanya Mwendazake? Yaani kete waliyobakia nayo sukuma gang ni kusema vitu vimepanda wanasahau kwamba 2025 ni mbali,na Kwa umbali kila kitu kitabadilika.
 
Magufuli hakuwa anapendwa kama inavyotaka iaminike, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyeweza kumdhuru yoyote aliye kinyume na yeye, na ili uwe salama wakati wa utawala wake, ilikuwa ukae kwa kuhofia, au ujifanye unampenda.

Na hajawahi kuheshimu vipimo vya kuonyesha kukubalika zaidi ya kufanya mauaji, ukatili na unyama wa wazi kwenye chaguzi, ili kutangazwa mshindi kwa shuruti yeye au chama chake.

Kama bado mzimu wake uko huko ccm, basi asiyemsujudia hajachaguliwa, ila kama hofu aliyopandikiza itaondoka, basi ujue yeye ni dhalimu wa Kawaida kabisa.
Fisadi katika ubora wake 😀😀
 
mtutu kwa mafisadi
Alimfunga fisadi gani? Yeye mwenyewe alikuwa fisadi tu. Alinunua ndege bila kutangaza tenda? Alijenga uwanja kwao chato bila kutangaza tenda! Alipora korosho zetu sie wa kusini!
Asisemwe kwann
 
Uchaguzi wa 2025 ni watu ndo wanachagua wawakilishi wao..sio Magufuli ndo anawachagulia watu...mambo yake iliishapita. Mungu alifanya yake
 
Ni ukweli mtupu.
Mpaka sasa, zaidi ya 90% watu wanamkubali na kumwongelea zaidi JPM kuliko huyu.
Kumkahfu JPM huku ukiwa na nia ya kugombea Ubunge/udiwani ni sawa kabisa na kuvaa kitanzi shingoni na kujinyonga mwenyewe.
Watu wamekwenda mbali zaidi. Wamechonga SANAMU ya JPM na kuweka vyumbani mwao angalau tu kutunza kumbukumbu.
RIP, BABA YETU MPENDWA, JPM.

Hujawafahamu watanzania vizuri. Watanzania wanaenda na upepo. Usishangae hiyo 2025 magafuli hakawa hata kutajwa hatajwi acha kukumbukwa.
 
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.

Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.

Kama mnabisha come 2025.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Acheni kutisha watu kisa Magufuli. Alifariki Baba wa Taifa watu wakadhani ndio mwisho, lakini mpaka Leo nchi inaendelea.
 
Magufuli hakuwa anapendwa kama inavyotaka iaminike, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyeweza kumdhuru yoyote aliye kinyume na yeye, na ili uwe salama wakati wa utawala wake, ilikuwa ukae kwa kuhofia, au ujifanye unampenda.
Huu ndio ukweli kabisa, utawala ulikuwa wa hovyo sana!
 
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.

Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.

Kama mnabisha come 2025.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Vipi rais anayemnanga hatma yake iko je?
 
Yani kwamba Magufuli ni Nani? Usilete vitisho vyenu vya kipumbavu, there's new sheriff in town and get used to it.

Madhachodu.
 
Na safari ndiyo kwaanza inaanza, bahati mbaya yule kijana wa Burundi aliyehamia kigoma amesababisha dude liamshwe mapema.
 
Huyo atakayewakata ni nani? Ni mjinga, Zuzu, Fala, Zumbukuku ndiye anaweza kuamini CCM ya sasa haina mkono kwenye unangaji wa Magufuli. Halafu utegemee aliyewatuma akate majina yao?
 
Kwa hiyo wewe kwa akili zako hao wabunge walichaguliwa siku ya uchaguzi 2020?? Umesahau aliyesema hata msipoichagua ccm, yenyewe ndo itaunda serikali alikuwa SSH rais wa sasa hivi aliyeleta uhuru wa kujieleza bila woga..
Acha kutisha watu ccm ni ile ile tu na hawajawahi kushinda kihalali na wenyewe wanajua.
Labda utuambie ikitokea katiba imebadilika na tuna tume huru ya uchaguzi.
Unawatishia na unajua wazi huu ujasiri wa kujieleza umeletwa na no.1 anayemiliki vyenzo zote za chama na serikali yake.
 
Back
Top Bottom