Plain and Clear: Wabunge wa CCM watakaomnanga Magufuli wajiandae kuukosa ubunge 2025

Hivi kwa nini hizi thread zote za Pombe usiunganishe tu? Zikawa kwenye thread moja?

Haya mambo ya kuleta thread 8 zote za Marehemu ni kumpa ghasia tu huko kwenye uongozi wake mpya kwa 'malaika'.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
umeshindwa kupambana kwa hoja?
 
Mtu ataye kulaumu ni yule tu ambaye hajasoma jina lako! Lakini wabunge wengi wa ccm wanajua kufika 2025 ukiwa hai tu ni kwa kudra za maulana, asa Wewe unatishia watu nyau, akati lichama lenu sasa hivi halina mwenyekiti, katibu mkuu wala mwenezi!
 
Hivi kwa nini hizi thread zote za Pombe usiunganishe tu? Zikawa kwenye thread moja?

Haya mambo ya kuleta thread 8 zote za Marehemu ni kumpa ghasia tu huko kwenye uongozi wake mpya kwa 'malaika'.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
"Malaika"hao Kwiyoo. Anacheza vitasa huko, DADEKI...
 
Waache tu si wameshiba na kuvimbiwa leo, ngoja kesho iwafikie ndo akili zitawarudia wakiwa na njaa!
 
Unazo facts ku-support au ni hisia tu na mkumbo? Ndo uhuru wa kuongea mliokuwa mnaupigania?
 
Wapoteze majimbo kwa kipi? Kwani makatibu wa chama wilaya ambao ndio wakurugenzi wa uchaguzi wa ndani ni wateule wa Hayati? Kamati za siasa nazo ni mali za hayati? Kwanza amewasomesha namba tangu awe mwenyekiti hawana hamu nae, Pesa zote za kuendeshea ofisi zimepelekwa kwenye acc ya Makao makuu wakawa wanazichungulia yeye na Bashiru, ofisi za wilaya na mikoa mpaka ziombe pesa walizokusanya wenyewe ndio zirudi kiduchu.

Wakupeta watapeta huko majimboni, wakikatwa na KK zitapigwa kura za hasira majimbo yataenda upinzani, turudi kwenye siasa ya mwanzo kila mtu ashinde kwa nguvu zake, au mna mpango tena wa kutumia dola! Wewe jingalao unawatishia hao wabunge kama nani? Katiba inasema atakayechaguliwa kwa kura nyingi kama mwakilishi wa wananchi ataenda kuwakilisha wananchi (mbunge). This time mbeleko hakuna.

Uaneni ikibidi mmeshachokwa.
 
Uchambuzi wako ni dhaifu sana! Watapeta huwezi kuamini!
 
Itakuwa ni fursa kwa watu makini kuingiamo.
 
Huyu jingalao kama siyo msukuma atakua kibajaji!
 
Magufuli nibMagufuli na wala Magufuli siyo CCM.
 
Sema mtawaminya katika mchakato wa CCM lakini watatoka wqtahamia opposition wanatoboa. Hii sio dunia ya kutishana mtaji wa siasa ni watu.

SITISHWIIII, WALA SITISHIKIIII-JPM
 
Unazo facts ku-support au ni hisia tu na mkumbo? Ndo uhuru wa kuongea mliokuwa mnaupigania?

Hizo ndio facts, na uwezo wa kudhibitisha upo, ila sio kwa vyombo hivi vya kiuchunguzi ambavyo ndio hutumika kwa mambo hayo. Unazungumzia uhuru wa maoni kwa vitisho, maana unajua ule unyama unaofanyika hauwezi kuhojiwa, kwani wanaoufaunya wanaweza kutumia udhaifu wa mifumo kuficha udhalimu huo. Boss sisi sio wajinga wa hivyo, tuna uelewa mpana, hata kama mazingira sio rafiki.
 
Acha kuwachimba bit wenzako. Tabia za kibabe kaondoka nazo mwendazake. Jifunzeni kuishi bila yeye. Hiyo ccm ilikuwa mali yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…