mwami ndalibanye
Member
- Oct 5, 2016
- 31
- 34
Akhsante sana kaka the bold mimi nimefanikiwa kuona NARCOS season 1&2 nikapata mwanga fulani ila hapa umezisha sana mwanga wa kumjua huyu bwana Gaviria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli anakosea sana,anatunyima madini ambao tuna utayari wa kusoma.Story nzuri nimeisoma.....
Still nadhani unakosa kufupisha mkuu,ishu kama hizi ni za vichwa vichache kuweza kumudu kusoma na kuelewa maana naona kuna vitu vimekosekana kwasababu ya kufupisha,weka makala ndefu hata ya kusoma masaa manne mkuu.....
Hatuoni urefu bali tunauona uzuri wa maisha ya mtu na harakati zake....
Hongera pia....
Yeah....Kweli anakosea sana,anatunyima madini ambao tuna utayari wa kusoma.
Ambaye hatoweza kusoma makala ndefu atafute namna yake mwenyewe ya kufupisha.
Period
Nimekutag Mkuu cheki post #2Mbona hujanitag mkuu
Sawa Mkuu! Nitafanyia kazi ushauri..Story nzuri nimeisoma.....
Still nadhani unakosa kufupisha mkuu,ishu kama hizi ni za vichwa vichache kuweza kumudu kusoma na kuelewa maana naona kuna vitu vimekosekana kwasababu ya kufupisha,weka makala ndefu hata ya kusoma masaa manne mkuu.....
Hatuoni urefu bali tunauona uzuri wa maisha ya mtu na harakati zake....
Hongera pia....
OK! Nitafanyia kazi ushauri..Kweli anakosea sana,anatunyima madini ambao tuna utayari wa kusoma.
Ambaye hatoweza kusoma makala ndefu atafute namna yake mwenyewe ya kufupisha.
Period
Haitotoka kwenye Gazeti lolote lile na kama ukiona mahali imetokea kwenye gazeti lolote, tujuzane Mkuu tuwafanye kama tulivyowafanya wenzao wa Gazeti la Kisiwa..itatoka kwenye gazeti gani mkuu?
ipige machata ya jamii forums kila mahali kwa juuHaitotoka kwenye Gazeti lolote lile na kama ukiona mahali imetokea kwenye gazeti lolote, tujuzane Mkuu tuwafanye kama tulivyowafanya wenzao wa Gazeti la Kisiwa..