Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Safi sana hii nilianza kuangalia video zake wiki iliopita huko youtube na leo kama zali napata kuona umeitumia hapa storia yake huyu jamaa nasoma na kupata picha halisia kabisa na kile nilicho kiona vinashahabiana na kunogesha big up mkuu @thebold
Nashukuru..
 
The bold cjaisoma bado ila najua itakua ni mule mule.
Ngoja kwanza nichukue salio hapa Crdb kuna jamaa nilipinga nae kuhusu Usa election anaenda kunikabidhi M3.
Duu sijui kuanzia leo nianze kubet na ligi mbalimbali!
Daaaaahh mimi Jana nilikataa kubet na mtoto Nifah sahizi ningekuwa nafaidi laki yangu hahahahah
 
mbona nimeicopy tu fresh kwenye word na nikaisave?
Ishu sio kuikopi ishu ni pale ukiichapisha au kuitumia mahali kwengine kwa malengo ya kibiashara! Kuna vitu vimefi.chwa fichwa kuifanya imtofautishe mwandishi halisi The bold kwahiyo inakuwa rahisi tu kukubana kisheria kuhusu hatimiliki.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo ni akili nilipewa na the akili kubwaz Kiranga
 
Thanks the bold..
Kwa jinsi hiyo... Pablo alichokuwa anakifanya.... Alikuwa na maagents wake watiifu aliowalipa kiasi kikubwa cha fedha kwenye idara zote nyeti za ulinzi na usalama kwa colombia na us.... Na cia ndio walinufaikaa nae sana....
 
Shukrani za dhati kabisa kwako mkuu The Bold kwa kutuletea simulizi ya kusisimua

Ama kwa hakika Pablo Hatosaulika katika tasnia ya uhalifu

Nitabaki kuwa msomaji wako mtiifu[emoji2]

Naamini the more fascinating stories will come as those came

Tchiiiaaz[emoji109]
 
Ishu sio kuikopi ishu ni pale ukiichapisha au kuitumia mahali kwengine kwa malengo ya kibiashara! Kuna vitu vimefi.chwa fichwa kuifanya imtofautishe mwandishi halisi The bold kwahiyo inakuwa rahisi tu kukubana kisheria kuhusu hatimiliki.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo ni akili nilipewa na the akili kubwaz Kiranga
aya
 
Hahaha safi sana mkuu kwa mimi niliyeangalia narcos na kumpitia kijana wake sebastien marroquin..zile sehemu zetu ulizoziwekea copyright tunaweza kufanya infrijimenti |kidding| but Good job bro ila sijui kwanini hujamzungumzia Gustavo japo kidogo maana alinogesha pia na somehow alikua ni mojawapo ya kupamba moto kati ya cali na medellin
 
Back
Top Bottom