Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Ishu sio kuikopi ishu ni pale ukiichapisha au kuitumia mahali kwengine kwa malengo ya kibiashara! Kuna vitu vimefi.chwa fichwa kuifanya imtofautishe mwandishi halisi The bold kwahiyo inakuwa rahisi tu kukubana kisheria kuhusu hatimiliki.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo ni akili nilipewa na the akili kubwaz Kiranga
Ni Watermark njia unayoisemea ? Mbona watu wanafungua tu ila hongera kwa kazi nzuri
 
Waoo nimeimaliza na kuielewa vizuri kabisa. Kabla sijasoma nilikuwa najua Pablo aliuliwa na wanajeshi wa serikali kumbe alijipiga risasi. Congrats nyingi kwako Bold kwa stori murua mkuu
 
Huyu Jamaa nakumbuka enzi zile Kuna Newsweek ilionesha Pablo Escober akiwa kavalia Jens na Shati la Uji uji ametapakaa Damu ndipo nilimshika na sitomsahau
 
Waoo nimeimaliza na kuielewa vizuri kabisa. Kabla sijasoma nilikuwa najua Pablo aliuliwa na wanajeshi wa serikali kumbe alijipiga risasi. Congrats nyingi kwako Bold kwa stori murua mkuu
Nashukuru sana Mkuu!
 
Back
Top Bottom