Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheeeerzzz!! Nashukuru Mkuu..Shukrani za dhati kabisa kwako mkuu The Bold kwa kutuletea simulizi ya kusisimua
Ama kwa hakika Pablo Hatosaulika katika tasnia ya uhalifu
Nitabaki kuwa msomaji wako mtiifu[emoji2]
Naamini the more fascinating stories will come as those came
Tchiiiaaz[emoji109]
Hahaha safi sana mkuu kwa mimi niliyeangalia narcos na kumpitia kijana wake sebastien marroquin..zile sehemu zetu ulizoziwekea copyright tunaweza kufanya infrijimenti |kidding| but Good job bro ila sijui kwanini hujamzungumzia Gustavo japo kidogo maana alinogesha pia na somehow alikua ni mojawapo ya kupamba moto kati ya cali na medellin
Shukrani Mkuu..Bandiko zuri na kiswahili kilicho nyooka shukran mkuu The Bold
Pamoja Mkuu..Nimesoma yote.. asante kwa kutujuza mkuu..
Nashukuru Mkuu..The bold uko vzr mkuuu!!
Hahahah! Nimejitahidi kadiri nilivyoweza kuifanya iwe fupi na hapa ndipo palipowezekana.. [emoji12]
Nashukuru Mkuu..Umetisha mkuu, nmesoma yote. Thanks a lot and big up