Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #41
Fedha zake nyingi ambazo zilihifadhiwa kwenye nyumba za maficho zilichukuliwa na wasaidizi wake waliokuwa wanafahamu zilipo na zile ambazo zilifanikiwa kukamatwa zilichikuliwa na serikali..Mkuu hela zake zote zile nani alichukua?
Hata 'pepo' yake ya Hacienda Nápoles ilipiganiwa vikali mahakamani kati ya serikali na familia yake iliyobaki na hatimae mwaka 2006 mahakama ikaamuru 'pepo' hiyo iwe mali ya serikali ya Colombia..